Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 74,209
- 183,056
Anne motoni moja kwa moja huyu!😜Unaona eeh! Anne ni corona kabisa [emoji2][emoji2]
Anne motoni moja kwa moja huyu!😜Unaona eeh! Anne ni corona kabisa [emoji2][emoji2]
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mama Mchungaji katika ubora wako! Simple, elegant, gojazi, classic! Hivi ulisema Baba Mchungaji naye yuko nje ya nchi ama? [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Bado nasikiliza aisee ...
Watz sisi ni wabishi ikiwemo na mimi [emoji23][emoji23]
Nimejitibu kwa herbs imeshindikana sasa nikaona hapa nacheza pata potea ngoja niende kwa artificial medicine .
Anne motoni moja kwa moja huyu![emoji12]
akiambatana na msukuma wazee wa kung'ata na kupuliza huku Mahondaw wakwanza kuteketezwa kwa moto!🤔🤔😂!Yaani yeye ndio atakua kuni za kutuchoma[emoji23][emoji23]
Get better soonThank you
Ooh yeah leo ndo nimetoka hapo .
Nimechomwa sindano ile ya kifua ndo nimechangamka kidogo .
Nishaenda dearest leo yalinishindaHalafu unaweza kukuta wala sio corona,nenda tu hospitali dear...
...simama ndio itaonekana vizuri auntie 😘😘😘😘😘View attachment 2193095
View attachment 2193096
Kwa jinsi nilivyojikucha hapo ili tu nitokee kama [mention]mahondaw [/mention] nilianza kuona roho inaacha mwili[emoji23][emoji23] wacha nijikubali na namba tisa yangu...
Nishaenda dearest leo yalinishinda
Coughing non-stop , sneezing , headache , fever , body weakness , na pale face .
Kikubwa I'm feeling better now .. Ashukuriwe Mungu kwa hilo .
Thank youGet better soon
mbona shepu unalo afu limetulia auntie hongera sanaView attachment 2193095
View attachment 2193096
Kwa jinsi nilivyojikucha hapo ili tu nitokee kama [mention]mahondaw [/mention] nilianza kuona roho inaacha mwili[emoji23][emoji23] wacha nijikubali na namba tisa yangu...
Waoooohhhh Umependeza
...simama ndio itaonekana vizuri auntie [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Simama ivoivo shangazi Shepu unalo mama hongera 😘Asante,nikisimama kigodoro kinakaa vibaya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji2096][emoji2096]
Ooh yeahKama umeshaenda ni vizuri...
Pole sana mkuuNishaenda dearest leo yalinishinda
Kikubwa I'm feeling better now .. Ashukuriwe Mungu kwa hilo .
Thank you MkuuPole sana mkuu
Boss ledi uko na hakika mjeda alikusamehe kweli?Anne motoni utavutwa pande zote utang'ang'aniwa ujue wewe!! 😜🤣
Unanichoma boss ledi🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Anne kakuambukiza auntie
! Anne hafai kabisa 😂
Unanichoma boss ledi