Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Hahaha[emoji23][emoji23] na kwa matukio hawa viumbe wapo vizuri sana
Unajihisi main chick kumbe upo kwenye foleni huko
Hahaha[emoji23][emoji23] na kwa matukio hawa viumbe wapo vizuri sana
Mzigo kidogo kama ngapi? wewe unatoa kutokana na uwezo wako bwanaKwanza ukishaona mzigo ni kidogo utaona text inajibiwa baada ya lisaa
[emoji23][emoji23][emoji23]Kwanza ukishaona mzigo ni kidogo utaona text inajibiwa baada ya lisaa
Na ukija shtuka kuchomoka haraka haraka inakua mtihan utapigwa kila aina ya matukio kuja kushtuka ushafubaa.Hahaha
Unajihisi main chick kumbe upo kwenye foleni huko
Ndio hapo sasa utapimiwa kwa kiwango chako. Unashangaa unapigwa calendar wakati wenye mzigo wa maana wanagusa tu.Mzigo kidogo kama ngapi? wewe unatoa kutokana na uwezo wako bwana
Acha tu ,haya mambo sio kabisaNa ukija shtuka kuchomoka haraka haraka inakua mtihan utapigwa kila aina ya matukio kuja kushtuka ushafubaa.
No comment [emoji23]Ndio hapo sasa utapimiwa kwa kiwango chako. Unashangaa unapigwa calendar wakati wenye mzigo wa maana wanagusa tu.
😀😀👐👐No comment [emoji23]
BadaeSelfika tuone mkuu
Hahahaaa... Hapana nawatania sijanyoa nakomaa nazo hivihivi kibishiPole mama , umenyoa fupi kabisa au?
Poa poa [emoji16]Hahahaaa... Hapana nawatania sijanyoa nakomaa nazo hivihivi kibishi
Njemaaa sana
Usiniambie....soo basi njoo pm huku nikumwagie ndalama tupeane mautamuHamna bwana wewe mwaga hela hizo [emoji23]
Kwani jamani sii mmesema kuwa cha msingi huduma. Haya mambo ya kutaka kuwa main chick yanatoka wapi tenaHahaha
Unajihisi main chick kumbe upo kwenye foleni huko
[emoji17]umetuweza mbonaHahahaaa... Hapana nawatania sijanyoa nakomaa nazo hivihivi kibishi
Mzigo kidogo kama ngapi? wewe unatoa kutokana na uwezo wako bwana
[emoji23][emoji23] acha uchokozihilo swali kama unataka ku burgain hivi[emoji2][emoji2]