Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Malizeni huu mjadala sasa. Bosi Ledi hana mume bali anacheza tu na saikolojia zenu. Hakuna mke wa mtu anayeweza kuwa na audacity ya kuweka mahusiano yake na michepuko hadharani vile na kubinuka mitandaoni humu hata kama mumewe awe boya namna gani.

Na msije nanyi mkaleta za kuleta huko kwa wachumba na waume zenu kubebishana na michepuko hadharani eti mnamuiga Bosi Ledi. Mtakuja kuselfika hapa mkiwa mmepigwa hamtamaniki!

Tuendelee na mambo mengine ya maana pulizi
View attachment 2193154View attachment 2193155
Prof.........

Sent using Jamii Forums mobile app
 
503B7919-7CA9-43DE-A226-22B4D55BAE58.jpeg
 
Back
Top Bottom