Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,765
- 26,902
[emoji1787][emoji1787]Tukiachabubaili mtaanza kuja na yale mambo yenu ya ' ananihudumia ndio lakini sasa mie nataka tall dark and handsome....yaani shosti sii unajua yule mwanaume mwenye ule weusi wakutela alafu awe amebarikiwa...ukimuona tuu kyupi imelowa'
Nkamu pitia huo Uzi,Kuna pambio zote hukoπnyie huyu Kaka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nkamu yaani nikiingia JF nitapita huku nitatoka nikipata nafasi ndiyo nitapita kwingine kwingine
[emoji1787][emoji1787]Hahaha
Unajihisi main chick kumbe upo kwenye foleni huko
Khaa[emoji848]Aslama lyeikum Mjep
[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]
NaamNdio hapo sasa utapimiwa kwa kiwango chako. Unashangaa unapigwa calendar wakati wenye mzigo wa maana wanagusa tu.
Nani huyoKila mtu ana preference zake rafiki
Main chick ndo ameteka moyo wa mwanaume na sio hao michepuko [emoji23][emoji23] .
Acha wanaoweza kuwa michepuko waendelee na mambo yao ...
Mimi yameongezeka aisee. Ila ngoja tupambane na ya kwetu yasije yakatushinda; ya watu tuwaachie wenyewe ππsana maswali lukuki[emoji3]
Wengine tulikesha nao kimyakimya πππWatu walivyo watakuwa wanapita wanasoma kimyakimya kama hawaoni vile[emoji1787][emoji1787]
Hadi nimesahau tunatakiwa kuselfika. Everything on point nkamuChoose Day!
Hakuna aliyeniteka [emoji23]Nani huyo
Amekuteka [emoji848]
Wewe unachokitafuta utakipata endelea kuchokoza wakubwa zakoπ¬πππNkamu pitia huo Uzi,Kuna pambio zote hukoπ
Yaani nkamu hadi mimi nikawaza,sijui anajisikiaje huyo kaka aiseee.. naanza kumuona naye boya.
Nimeokoka na ninampenda Yesu. Sidhani kama mbengo zitafongoka kwa ajili yako mdogo angu
ππππππππWewe unachokitafuta utakipata endelea kuchokoza wakubwa zakoπ¬πππ
Wakianza kumpiga, uniite nimuongezeeWewe unachokitafuta utakipata endelea kuchokoza wakubwa zakoπ¬πππ
π¬πππMimi yameongezeka aisee. Ila ngoja tupambane na ya kwetu; ya watu tuwaachie wenyewe ππ
Yesooo anaashoooka..Nimeokoka na ninampenda Yesu. Sidhani kama mbengo zitafongoka kwa ajili yako mdogo angu
Naona kweli umeokoka,,uoga haujakuacha salama..Wakianza kumpiga, uniite nimuongezee