Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Ngoja tuanze na zoezi letu la kujiscrub
Mwaka huu ni urembo kwa kwenda kundasi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Nkamu nimekubali hali ya hewa ya Dodoma inapausha na hapo sijawahi kaa hata week mbili mfulululizo….. ila nikikaa siku tano naanza kuona mbona kama napauka flan hivi….hapa nna mawazo[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]nataka nikae nitafute vipodozi vinavyoendana na huku
 
Umeona eeeh?
Kwanza Dom maji yake tu magumu sana ..hakufai.

Tafuta tu chaurembo wetu.
 
View attachment 2192786View attachment 2192787
Enzi zetu ili uweze kupata mchumba/mke ni lazima uwe na historia ya kupambana na mmoja wa Wanyama hawa [emoji123][emoji123]

Nilipowaona humo nikatamani nikumbushie enzi, bahati tu umri umenitupa mkono[emoji2957][emoji2957]

Hello Tuesday [emoji1635]
Enzi zetu hizo mzee mwenzangu. We were real men back then [emoji123][emoji123][emoji16][emoji16]

IMG_20220410_101455_791.jpg
IMG_20220409_220559_188.jpg
 
Back
Top Bottom