Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,765
- 26,901
😂😂😂kwa kweli hivi hatambui kwamba yule ni bro wake au shemeji yake zilipendwa 😬😂😂😂😂😂😂😂😂
Eti jamani,,yaani Kuna mambo yanashangaza😆
Eeh mdomo wangu koma🏃🏾♀️
Wanakatiza kimyakimyaWengine tulikesha nao kinyakimya 😁😁😁
Niliamka nikatubu; Yesu akirudi anikute tayari😁😁Naona kweli umeokoka,,uoga haujakuacha salama..
Hutaki kuchafua CV😆
Mara paaah umenasa kwenye ulimbo wake nakwambia sijawahi kuandika uzi Jf ila nitaufungua kwa ajili yako humo naweka na ushahidi kabisa wa screenshot jinsi ulivyokuwa unashangaa wenzio😬😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Eti jamani,,yaani Kuna mambo yanashangaza😆
Eeh mdomo wangu koma🏃🏾♀️
Weee wanamumunya ubuyu zaidi yetuWanakatiza kimyakimya
Umbea huu🤣🤣🤣😂😂😂😂😂😂
Hadi wanaume wanaupenda
Mambo ni mengi mjini hapa jf😆😂😂😂kwa kweli hivi hatambui kwamba yule ni bro wake au shemeji yake zilipendwa 😬
Kama mimi nilivyo tubu😬😂😂Niliamka nikatubu; Yesu akirudi anikute tayari😁😁
KwaniWanakatiza kimyakimya
Umbea huu
Hadi wanaume wanaupenda

Ikitokea basi ntaamini uchawi upo duniani hapa😂😂😂😂😂😂Mara paaah umenasa kwenye ulimbo wake nakwambia sijawahi kuandika uzi Jf ila nitaufungua kwa ajili yako humo naweka na ushahidi kabisa wa screenshot jinsi ulivyokuwa unashangaa wenzio😬😂😂😂😂
Yaani wewe kama ni gari basi limekupita hadi nimeshafika linakoenda.Kwani
Kuna habari gani![]()
Tena hawa ndo wabaya zaidi,,wananasa Kwa kuibia .Weee wanamumunya ubuyu zaidi yetu
Ujue bro anasoma kimya kimya kisha anaanza na wewe huko piemuni😬Ikitokea basi ntaamini uchawi upo duniani hapa😂😂😂😂😂😂
Ila wewe mtoto .........Tena hawa ndo wabaya zaidi,,wananasa Kwa kuibia .
Bora sisi tuliojitoa tu kimasomaso tunsoengesha tu maswali ya kwenye mshono Kwa boss wetu mpendwa.
Aiseeee..Ujue bro anasoma kimya kimya kisha anaanza na wewe huko piemuni😬
Anne mbavu zangu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣!Aiseeee..
Nyie😂😂😂
Yaani ile jam,Bora hata mtu kama huijui.
Ila wanasema mamba hatukanwi kabla hujavuka mto na mapenzi ni upofu ila Kuna watu aiseeee ...wanaweka hadi pamba machoni.
Ririz wa ririz …..Aiseeee..
Nyie😂😂😂
Yaani ile jam,Bora hata mtu kama huijui.
Ila wanasema mamba hatukanwi kabla hujavuka mto na mapenzi ni upofu ila Kuna watu aiseeee ...wanaweka hadi pamba machoni.