tamsana
Platinum Member
- Jan 13, 2012
- 3,836
- 8,257
Pesa huwa haijai mkuuSasa je, muachage ubahiri basi
Pesa huwa haijai mkuuSasa je, muachage ubahiri basi
Zilikatika sana yani huku mbele na pembeni kote hakuna nyweleMamii umenyoa jaman, kwa nini??
Pole mama , umenyoa fupi kabisa au?Zilikatika sana yani huku mbele na pembeni kote hakuna nywele
Selfika tuone mkuuZilikatika sana yani huku mbele na pembeni kote hakuna nywele
Mrembo wetu mweupeee wa nyanda za juu kusiniChoose Day!
Tunaipenda hivyo hivyo [emoji23]Pesa huwa haijai mkuu
Nikija na mia mbili yanu utakavyonifurusha na matusi kisa umekutana na mia tano. Hapo sasa ndio wanaume tunachoka.Tunaipenda hivyo hivyo [emoji23]
Tukiachabubaili mtaanza kuja na yale mambo yenu ya ' ananihudumia ndio lakini sasa mie nataka tall dark and handsome....yaani shosti sii unajua yule mwanaume mwenye ule weusi wakutela alafu awe amebarikiwa...ukimuona tuu kyupi imelowa'Sasa je, muachage ubahiri basi
[emoji23][emoji23] hamna bwana usiogopeNikija na mia mbili yanu utakavyonifurusha na matusi kisa umekutana na mia tano. Hapo sasa ndio wanaume tunachoka.
Sasa naacha vipi kumpenda mwanaume anaenihudumia eti [emoji23][emoji23] hao handsome guys wengi wasumbufuTukiachabubaili mtaanza kuja na yale mambo yenu ya ' ananihudumia ndio lakini sasa mie nataka tall dark and handsome....yaani shosti sii unajua yule mwanaume mwenye ule weusi wakutela alafu awe amebarikiwa...ukimuona tuu kyupi imelowa'
Wasumbufu ndio ila ndio moyo upo huko soo huyu ndio anahudumia lakini moyo ndio haupo kwakwe utaishia tuu kupeleka mbususu kwa tall dark and handsomeSasa naacha vipi kumpenda mwanaume anaenihudumia eti [emoji23][emoji23] hao handsome guys wengi wasumbufu
[emoji8][emoji8]them shoeChoose Day!
Handsome face hao hawafaiSasa naacha vipi kumpenda mwanaume anaenihudumia eti [emoji23][emoji23] hao handsome guys wengi wasumbufu
Njemaaa sanaHabari za asubuhi
Wale wa kuuzia tu sura ila mahusiano serious wengi hawafaiHandsome face hao hawafai
Kwanza ukishaona mzigo ni kidogo utaona text inajibiwa baada ya lisaa[emoji23][emoji23] hamna bwana usiogope
Hata kuuzia sura hapana ..unaweza ukabaki mdomo wazi .Wale wa kuuzia tu sura ila mahusiano serious wengi hawafai
Hamna bwana wewe mwaga hela hizo [emoji23]Wasumbufu ndio ila ndio moyo upo huko soo huyu ndio anahudumia lakini moyo ndio haupo kwakwe utaishia tuu kupeleka mbususu kwa tall dark and handsome
[emoji23][emoji23] na kwa matukio hawa viumbe wapo vizuri sanaHata kuuzia sura hapana ..unaweza ukabaki mdomo wazi .
Naam, tunawazoom tu warembo wa JFSwaumu Kali[emoji1751]View attachment 2192768