Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,511
- 235,218
Ngoja tu tuulize kuliko kuendelea kujiuliza kichwani.Kabisa. Wengi tu walikuwa wanajiuliza kimoyomoyo kama sisi; leo tumepata fursa
Uzuri boss ledi hana blah blah,yupo straight sana.
Ngoja tu tuulize kuliko kuendelea kujiuliza kichwani.Kabisa. Wengi tu walikuwa wanajiuliza kimoyomoyo kama sisi; leo tumepata fursa
Mimi natamani kumuuliza tu bro japo sina mazoea nae why anapenda kuchukua wa Jf 😬😬bandika bandua.Si ndo kama hayo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wengi tu watakuwa walitamani kumuuliza haya
Nimewasaidia[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Chaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wanapokea ila mda wa kula na kulala [emoji23][emoji23]
Ngoja yakukuteChaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wengine simu kama hewa,,yaani muda wote akiyanani nisingeweza Mimi[emoji1787]
Ndo hivyo kama umependa na anatimiza mahitaji si mbaya.Chaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wengine simu kama hewa,,yaani muda wote akiyanani nisingeweza Mimi[emoji1787]
Ngoja mahondaw atusaidie kumwita aisee [emoji23][emoji23][emoji23]Mimi natamani kumuuliza tu bro japo sina mazoea nae why anapenda kuchukua wa Jf [emoji51][emoji51]bandika bandua.
Yanikute mara ngapi sasa?[emoji23][emoji23]Ngoja yakukute
Kama ni kweli.....
Huoni kama kuna siku anaweza akaja akaingia JF out of curiosity? Afu imagine anakutana na comments zako like "mchepuko wako unahaha; you two are having an unfinished business etc. Na kama ulivyoongea huko kuhusu maugomvi sijui majungu kisa mchepuko wako hadi unaanzishiwa threads, it looks like bado unampambania mchepuko kutoka kwa wanawake wengine; is there any man/husband who can tolerate that? Mumeo ni hawahawa waume zetu wa kibongo ninaowafahamu au?
........
Mimi Cha kwanza kabla ya vyote ni muda.Ndo hivyo kama umependa na anatimiza mahitaji si mbaya.
Na kuna watu wana mijineno humu unaweza kimbiaMimi binafsi siwezi Jf ningeibrock kwa miaka[emoji51][emoji51]
Tena Mwanamke aliomchukua safari hii 😬😬kuna ile kukomoana ngoja nijioneeNgoja mahondaw atusaidie kumwita aisee [emoji23][emoji23][emoji23]
Hata Mimi natamani kuuliza.
Na wanaochukuliwa hivi wanajisikiaje?
Au ndo mtu anaona ameokota dodo kwenye mnazi??
Maana unaona kabisa mwenzio alichukuliwa akapigwa chini,mwingine alichukuliwa akapigwa chini,zoezi likaendelea hadi likamfikia.
Au ndo wanaamini kwenye Imani upendo na muujiza kwamba hali itaenda kubadilikia Kwake hatapigwa chini [emoji848]
Sio kwamba hana mda simu wanaziacha kambini au akipokea hamtoongea vizuriMimi Cha kwanza kabla ya vyote ni muda.
Kama mtu hana muda yaani dah[emoji3064]
Basi hao wanajeshi hawanifai..
Asee watu wanachakarika tu kutandikana ngumi[emoji1787][emoji1787]aloo Mimi na mapenzi ya kupiga piga simu hapo.
Pesaaaaaa!Ngoja mahondaw atusaidie kumwita aisee [emoji23][emoji23][emoji23]
Hata Mimi natamani kuuliza.
Na wanaochukuliwa hivi wanajisikiaje?
Au ndo mtu anaona ameokota dodo kwenye mnazi??
Maana unaona kabisa mwenzio alichukuliwa akapigwa chini,mwingine alichukuliwa akapigwa chini,zoezi likaendelea hadi likamfikia.
Au ndo wanaamini kwenye Imani upendo na muujiza kwamba hali itaenda kubadilikia Kwake hatapigwa chini [emoji848]
Kuna mwingine kachukuliwa tena?Tena Mwanamke aliomchukua safari hii [emoji51][emoji51]kuna ile kukomoana ngoja nijionee
[emoji134]Sio kwamba hana mda simu wanaziacha kambini au akipokea hamtoongea vizuri
Basi hapo hakuna upendo wa kweli ndio maana safari ya mahusiano inaishia njiani.Pesaaaaaa!
Tena anahakikisha wanajuana kabisa!