[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huku jukwaani ananiita rafiki lakini pm ananiita "mchumba" nashindwa kuelewa kwanini haniheshimu[emoji23][emoji23]
Yaani wasio na connections wanapitwa na mambo mob sana wallahi... [emoji28][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Indeed!!.What else can I say...U said it all!!Sounds absolutely fantabulous!
You are my closest confidant friend.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uhame uende wapi eti jamani
Nani amekutekeni mdogo wangu
Tuna akina lizarazu wengi humu.[emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]naona umeanza kuwa kama Lizarazu sasa, sawa Patrice Lumumba.
Sawa Dada najua ushaanza kulifanyia kazi...[emoji41][emoji41]Nimeelewa dear
Wewe ndio yule dada anaetekwa kwenye movie "taken" ya liam nesson??
Hutaki maneno mengi Dadaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Punguza wivu jamanii
Mbona nipo humu ndani sana mkuu.Duh upo mkuu??
Tayari na mie nilikuwa lindoni piaAmka bana
Ni Nani huyo?Uwii mbona kama nimeshamjua??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hebu hukooo!! Una nini lakinii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nashangaa wewe unaitwa dada, na mimi sijamkosea chochote lakini hataki kunipa hadhi ya udada[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]
Bora nibaki na tege langu mimi, natafuta mtu wa kunifundisha mapozi ya kusimama tuu mimi jamani
Sema ukweli banaYaani wasio na connections wanapitwa na mambo mob sana wallahi... [emoji28]
Pespsi sio tamu jamani
Na wewe ndo ungesababisha kabisaa!
Kuna kitu kimoja huwa hamshtukagi, mwanamke hawezi kutupia pic zake mfululizo vile tena kwa jeuri kabisaa!!
Ila aliwajibu wanaume kwa makopa meeengiii, ajabu akawa anatuchunia sisi wa kike!