Nitunzieduh... pole acha nile nyama tu ya pweza
[emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumbe mie n Don afu sijui, aaah wee hebu Forbes waniandike haraka.Sawa Don cc
Nipo kitambaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumbe mie n Don afu sijui, aaah wee hebu Forbes waniandike haraka.
Rangi ya meza mbaya, km kilinge cha mganga wa kienyeji, hivi hao watu wa hiyo sehem wanatoka sumbawanga? [emoji23][emoji23][emoji23]
Siku ingine mkuuSijambo mkuu
Selfika bhas
Vitu vizito hivyo
Ya wapi Tabata au Sinza? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nipo kitambaa
Do the needfull
Tabata shamba huko[emoji41]Ya wapi Tabata au Sinza? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ooh thank youKesho Arusha
Twenzetu