Pendaelli
JF-Expert Member
- Feb 13, 2014
- 12,891
- 37,866
Hatuna busu kwa sababu ya changamoto ya korona, ujue tokea ije korona kuna taratibu nyingi sana za kiibada zimebadilika.L
Tumeshatoka [emoji1787]
Mmebusu Msalaba kwenu? Au hujaenda..
Sijui mambo yamekuwaje, huku kwetu leo hatujabusu.. Padri kaupitisha tu waumini tunapiga ishara ya Msalaba
Heri ya siku ya Ijumaa kuu.