MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,703
- 71,039
Mazee, hizi Playlist unapozitoa sijui, lakini I appreciate it sana.
Hasahasa zile za The Diplomatics na za X-Plastaz,...
Nimezikiliza leo vizuri nikakumbuka mbali sana...
Mazee, hizi Playlist unapozitoa sijui, lakini I appreciate it sana.
Tabata pakijanja bhana [emoji23][emoji23]Tabata shamba huko[emoji41]
Hapo near ulipo
NakupitiaOoh thank you
Mkoa mzuri huo.
PakijanjaTabata pakijanja bhana [emoji23][emoji23]
😊 Kiswahili kigumu kidogoSiku ingine/ nyingine
Sawa mkuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumekuchaRangi ya meza mbaya, km kilinge cha mganga wa kienyeji, hivi hao watu wa hiyo sehem wanatoka sumbawanga? [emoji23][emoji23][emoji23]
Ungeniambia mapemaNakupitia
Acha dhambiUngeniambia mapema
Umenishutukiza
Hahahha hivyo hivyoPakijanja
Nilidhani
Pa kijanja[emoji1787]
Lori la sementi ndo nn rafiki ?Acha dhambi
Ama ni kuwa
Ni lori la sementi[emoji1787][emoji848][emoji849]
Unadhani nimesomaHahahha hivyo hivyo
Upo vizuri kwenye lugha
Hahaha upo vizuri weweUnadhani nimesoma
Mie ni std 11
Plaimali[emoji1787]
[emoji1787][emoji1787]Hahaha upo vizuri wewe
Unatushinda sisi bus la njano la mpauko [emoji23]
Nipe muongozo[emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nikukute wapi?Tabata shamba huko[emoji41]
Hapo near ulipo
Afu hata mie napakubali tabata.Tabata pakijanja bhana [emoji23][emoji23]