Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 43,246
- 90,423
hahahahahata malaika wataandamana nikikuacha... ila naona kama unachepuka na mjeda mtu chake .. mnapanga kukutana kule kule kwa juzi.. au basi
hahahahahata malaika wataandamana nikikuacha... ila naona kama unachepuka na mjeda mtu chake .. mnapanga kukutana kule kule kwa juzi.. au basi
Ukiweka udiniNilitaka kukwambia kitu au basi Wewe si umeandika huna dini![]()
muhimu kutofautiana maana hata Mungu sio namba moja..Hapa tu
Ndio tunatofautiana![]()
Kwa comment hii najipa moyo kumbe sijaachwa![]()

hahahahaha,mmhKwa siku zote 😬
Mkuu vipi mtanga hatari huyo tusije tumiana ballistic missile.. jua nipo gambushi sasa hivi nimeishatoka kwa msisi nimecharge vya kutosha.. hivi karibuni natolewa hapa mpaka misitu ya congooo.. nikitoka huko tusilaumianehahahaha
Ununiohata malaika wataandamana nikikuacha... ila naona kama unachepuka na mjeda mtu chake .. mnapanga kukutana kule kule kwa juzi.. au basi



Siku ya mateso leo😃Na zile benchi zinavyojua kukomaza goti 🤣 nilichoka ikabidi nitandike leso
Leo hapana, hadi kuanzia j2 jionkuje basi tupige mbuzi fresh
duh... pole acha nile nyama tu ya pwezaLeo hapana, hadi kuanzia j2 jion
Una wivuYaani umenichekesha hapa nilipo
Acha wivu kipenzi mbona nawe unachepuka na naniii na siongei![]()
hahahaha,mkuu mm sipo huko, kuwa na aman.wala usihofu mkuuMkuu vipi mtanga hatari huyo tusije tumiana ballistic missile.. jua nipo gambushi sasa hivi nimeishatoka kwa msisi nimecharge vya kutosha.. hivi karibuni natolewa hapa mpaka misitu ya congooo.. nikitoka huko tusilaumiane
ahaha! sema nipo kwenye kampeni yangu ya U RC au RAS... lazima kieleweke...hahahaha,mkuu mm sipo huko, kuwa na aman.wala usihofu mkuu
Aiseee hayaUna wivu
Ndio maana
Unamjibu dry
Jikubali bhas shem
SawaRejea ile post
Na picha
Huu mkeka ujaoahaha! sema nipo kwenye kampeni yangu ya U RC au RAS... lazima kieleweke...



sawa sawaahaha! sema nipo kwenye kampeni yangu ya U RC au RAS... lazima kieleweke...
Habari yako mkuu