Nuzulati
JF-Expert Member
- Nov 25, 2020
- 10,675
- 39,092
Mmmh mwenzetu wewe huna dini?vipi washangaa na hayo macho malegevu ya kitangaa.. dini imemfanya mswahili kuwa kituko
Mmmh mwenzetu wewe huna dini?vipi washangaa na hayo macho malegevu ya kitangaa.. dini imemfanya mswahili kuwa kituko
Sina dini, siipendi dini.. na sikuwa na dini masha yangu yote.. dini ni kifungo.. dini ni utumwa.. dini ni satanic agendaMmmh mwenzetu wewe huna dini?
Ndio bosikweli?
😘😍Inamaana hadi usiku huu hamli nyama?View attachment 2188656
Haina mfupa utaiweza?Mie nataka nyama ya kifuani tu
Haiwezekani huyo hawezi kuwa 😬Ajabu
Ni
mchungaji kabisa![]()
ndio yenyewe.. hiyo sasa.. yaaniii hapo kwisha habari yangu.. nakula 24/7Haina mfupa utaiweza?
Dah 🤔kama ni kweli nimesikitika sanaSina dini, siipendi dini.. na sikuwa na dini masha yangu yote.. dini ni kifungo.. dini ni utumwa.. dini ni satanic agenda
Dini ni mpango wa kumpotosha mwenye imani.. mwenye imani akiwa na dini ni anguko.. siipendi dini sitaki dini sielewi diniDah 🤔kama ni kweli nimesikitika sana
Mpendwa leo hauko sawa nadhani hakika 😳😳😳Dini ni mpango wa kumpotosha mwenye imani.. mwenye imani akiwa na dini ni anguko.. siipendi dini sitaki dini sielewi dini
Dini ni upotevu wa mwadamu.. trick ya shetani hiyo kupoteza watu. Dini haina Mungu, Mungu hayupo katika dini..Mpendwa leo hauko sawa nadhani hakika 😳😳😳
Sawa mpendwa 🙏🏽Dini ni upotevu wa mwadamu.. trick ya shetani hiyo kupoteza watu. Dini haina Mungu, Mungu hayupo katika dini..
ndio yenyewe.. hiyo sasa.. yaaniii hapo kwisha habari yangu.. nakula 24/7


Jamaniii yamekuwa hayo kipenzi 🙆🏾😀😀Hunipendi 😡😡😡
mlaji wa hiyo nyama anafaidi dah