Post M-alone
JF-Expert Member
- Aug 18, 2021
- 2,962
- 9,557
Kwani we ulitaka kusikia nini?Unataka kusemaje? 🤣🏃♀️🏃♀️
Kwani we ulitaka kusikia nini?Unataka kusemaje? 🤣🏃♀️🏃♀️
Masikio hayasikii kitu leoKwani we ulitaka kusikia nini?
ila nime ku miss sana ex.. mambo ya tanga tena sio mchezo.. hayaachi mtu salama😀😀😀😀Umenichekesha huo mkono wa mtu kweli kidole kimoja kama gimbi 😬
Duh!Kwa ajili ya wana selfika..
Tu-o-mbee
Mungu baba utubariki na kutulinda wana selfika wotee
Tu-pi-ge ma-go-ti
Simameniiiii
Lenie
🏃♀️🏃♀️ Haka ka kipengele nako kagumu 🤣
kuje basi tupige mbuzi freshIla wewe🤣🤣🤣
Magoti lazima yachoke
Tuongee kwa ishara sasa.Masikio hayasikii kitu leo
Badokuje basi tupige mbuzi fresh

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 umetishaaaTuongee kwa ishara sasa.
☝️💘👉💟
giza limaingia tayari.. tunarhsiwa kula nyama zoteeBado
Ni ijumaa kuu
Usimtie majaribuni
Mwana wa Adam![]()
amali tulisoma nae huuuyuuuuBaada ya kushiba ujiView attachment 2188652
Bado Mkuugiza limaingia tayari.. tunarhsiwa kula nyama zotee

achana na imani za mabeberu mkuuu.. kuwa mtu huru kamata paja kulaaa... dini utumwa... imani ni uhuru katika KristoBado Mkuu
Nyama zipo tu
Mie nazitamani kinyama
Tatizo imani
Ila kesho zitanikoma huko rodini
Hilo nalo nenoachana na imani za mabeberu mkuuu.. kuwa mtu huru kamata paja kulaaa... dini utumwa... imani ni uhuru katika Kristo

😳😳😳😳😳😳😳😳😳achana na imani za mabeberu mkuuu.. kuwa mtu huru kamata paja kulaaa... dini utumwa... imani ni uhuru katika Kristo
achana na dini.. faidii tuHilo nalo neno
Ila wacha ipite hivi![]()
vipi washangaa na hayo macho malegevu ya kitangaa.. dini imemfanya mswahili kuwa kituko😳😳😳😳😳😳😳😳😳
Samli ipi ndugu sijakuelewaShem akee
Samli itakufikia
Hivi karibuni
Mie nataka nyama ya kifuani tuInamaana hadi usiku huu hamli nyama?View attachment 2188656