Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,540
- 88,486
Nah sio kweli banaa..😄😄si ndivyo??
Yeye si unamuona!!?Muelezee vile navyotakaSiioni tena keshaifuta kumbee



woiiiii anyway, ikitokea tumeloose nitaku refund 10,000
Wewe ndo hukuelewa vizuri hebu...Sasa mbona ulisema eti zile picha za kwanza kwanza ulizotuma kule juu siyo wewe?? Au mimi ndiyo sikuelewa vizuri??
Weka picha yakounataka nifanye nini ili ujue kuwa ninamaanisha ninachokiandika eti jamani??
Angalia nyuma kuna picha yako
Sawa kakaYeye si unamuona!!?Muelezee vile navyotaka
Inamaana kwenye shindano ndio haupo?Walimwengu picha ziko wapi, huu uzi wa picha jamanii msijisahau.

Shindano gani mpendwa 😂😂😂Hivi lini nitakuona hapa??Inamaana kwenye shindano ndio haupo?![]()
Sawa kaka
Shindano gani mpendwa![]()
Sawa kaka
kwa kweli nimejaliwa sura ya inayofanana na mtu anayepiga chafyaa😁😁😁shindano halinihusuVisu 10 bora vya uzii huu
Mimi yangu ipo Kama Niko msibanikwa kweli nimejaliwa sura ya inayofanana na mtu anayepiga chafyaashindano halinihusu




hahahaha sasa kwani humu kunasura zinazoonekana
kwa kweli nimejaliwa sura ya inayofanana na mtu anayepiga chafyaashindano halinihusu