Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,509
- 235,214
Ni kweli nimeolewa mchumbaKuna waume wema humu watajua umeolewa kweli
Ni kweli nimeolewa mchumbaKuna waume wema humu watajua umeolewa kweli
Nkamu sasa si nilikuja huku kutumikia ndoa[emoji23]acha kuzingua[emoji23][emoji23][emoji23]
Subiria hapo hapo [emoji23]Zingatia ule mfanano
Jikite kwa alichosisitiza HS
Sasa tupia
Nami nakuwekea
Mr Handsome hujambo?
Sjambo beautiful onyinye naona mambo bulbulMr Handsome hujambo?
Hongera sanaNi kweli nimeolewa mchumba
[emoji28][emoji28][emoji28]
Kizembe tu nidondoke samahani? Aah hapana jamani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji28][emoji28]
Kizembe tu nidondoke samahani? Aah hapana jamani
Wajukuu wenyewe wapo kasiii sana kuliko 6GBabu analinda wajukuu zake tu 🤪🤪
Eti wasije kusahau [emoji1787][emoji1787]
When u feel like, kids are very important wewe ni Mama mzuri keep it up[emoji4]
Ni kweli nimeolewa mchumba
Mweekwa hiyo umeona nimetoka online umetupia ukafuta Nkamu ehee
AsanteHongera sana
Mweee
Mwee
Picha gani nkamu hujaona[emoji23]
Zote niliweka tangu muda ule nilioweka za kufua
Mimi ntakuwa jaji aiseeInabidi tufanye Miss Selfika. Mshindi atapata zawadi nono[emoji4]
Ni kapicha Fulani nishawahi kukapostnimeona ile ya kufua na ile ya nyani ipi hiyo Nkamu
UlitakaMweee
Onyinye wa Uyole?[emoji1787]
Tubariki na picha
Kweli?Umependeza