Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Binti yangu....halooo! [emoji870][emoji870][emoji870]

Za kupotea? Daddy wako umenitupa waja hapa hata hunisalimii [emoji15][emoji15][emoji15]
Daddy naona hata na wewe hunisalimii.

Inaleta raha sana daddy kumuulizia bintiye pindi anapomkosa nyumbani.

Maisha yanauvuruga ubongo wangu sana ndo mana napotea potea
 
Mara moja moja siyo mbaya...ningekuwa ni Mhaya ningeongezea na ndinga kali na pisi ya kueleweka....Hiyo tu nimehangaika kuandika naandika nafuta naandika nafuta. Kweli kila mtu na fani yake [emoji16][emoji16][emoji16]
Umejitahidi. Umefit in vizuri sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee usinitishe. Wiki jana jamaa mmoja ndugu yetu kafia kwenye mizagamuo...55+ kajifanya kuzagamua na kabinti ka chuo kwa kuboost na Redbull sijui na majitu gani aaa wapi. Ninapoandika hapa si ajabu tayari keshaoza huko aliko. Niko mwangalifu sana mjukuu [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila wanaume hapana kwa kweli, ukiona weekends wazee wanavochukua totoz za chuo hadi unashangaa,

Juz jmos shost angu kaja kunionesha kibopa wake, nimeishia kusikitika yule mzee n 60+ ila tyuuh kidg anajiweza, uwiiiiiih hatareee sana.
 
70A5D57F-9C25-4B64-A04F-54CE299FC2EB.jpeg
 
Daddy naona hata na wewe hunisalimii.

Inaleta raha sana daddy kumuulizia bintiye pindi anapomkosa nyumbani.

Maisha yanauvuruga ubongo wangu sana ndo mana napotea potea

Maisha ndivyo yalivyo binti. Usituone hata tunaojifaragua humu. Tuna mengi tu tunayohangaika nayo. Cha muhimu ni kutokata tamaa mpaka kieleweke. Endelea kupambana binti. Nakuaminia...na ukipotea tena nitakuwa nakuulizia hapa hapa jinsi unavyoendelea.
 
Back
Top Bottom