Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Jamani dogo unanivuruga
Nilisoma ule uzi nikiwa na usingizi, sikumbuki hata usernames

CO ndio mshalidadavua? Au wajuba waliyamwaga katikati ya comments?
Watu hawana kumbu kumbu tyuuh, alishawahi kuleta mada ya vile mwaka jana, ila kwa lugha ya bibi Elizabeth, ndo maan now kaleta kwa ID ingne, afu muandiko unamuumbua.
Watu tushamnyaka kitamboo. Hahahah mie janaa niliitaja "Co" akanambia nifute hahahahah

Khaaaa 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom