Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Good morning...

Screenshot_20220413-081502_Twitter.jpg
 
Mdogo wetu ukishachekecha akili utanitajia basi hiyo ID.

Mimi naendelea kuchekesha akili huku kumjua yule uliyesema amepotea humu
Shindwaaa
Unataka uniingize kwenye mnyonyoro wa Yuda 🤣🤣🤣


Hivi unamtafutia nini? Badala hata umuulizie yule wa pombe.
Na kuna juzi kati nili hang nae sana hapa 🤸🏻‍♀️🤸🏻‍♀️
Utajua hujui
 
Back
Top Bottom