Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 71,988
- 177,223
Hizo za kabla ya hizi ...pia zilikua za kukaa muda...Wacha wee
Boss lediii wetu huyo
Kakichwa kazuriiii
Unajua kupose
Tupia ingine tuone![]()
Hizo za kabla ya hizi ...pia zilikua za kukaa muda...Wacha wee
Boss lediii wetu huyo
Kakichwa kazuriiii
Unajua kupose
Tupia ingine tuone![]()
Tuone mamboHizo za kabla ya hizi ...pia zilikua za kukaa muda...

Yes watu wengi hunipa hiyo sababu mda mwingi kichwa unafunikaYes,kufunika sana,na kukaa muda bila kuretouch ni tatizo
Ila Dom kuzuri sana aiseee
Sana Ila makosa ni kuisuka nywele ya ndani na kuikaza kiuhalisia inabidi ya ndani ilegee Ila tunabana matumzi zikae zidumu muda kidogo Ila ni shidaChrotchet inakata nywele balaa.
Kupendeza utapendeza sana ila baada ya hapo haloo utafrahia upara ukianza taratibu![]()
Hapo kwenye usafi tu nakupa asilimia zoteHaya mama
Kama mwiba wa samaki ulivyo ndo jinsi ulivyo .Mwiba wa samaki ngoja ni google hii mpya kwangu![]()
Mimi nataka nirudi tu mkoani.Mm ilinikuta nilipokuja mkoani huku nilikuwa sitamaniki lakn now nashukuru sema sikupata tabu nilienda kwa daktar maana ukisikiliza kilaushauri utapaka Hadi mkojo
Aisee poleMimi nataka nirudi tu mkoani.
Nilikutag Uzi wa kina junia.
Uliona?

Tugawane mdogo etu

Na yenyew inakata nywele kumbe?Hahaha kweli aisee
Kuna misuko inakata balaa nilisukaga mwiba wa samaki aisee ile nywele balaa ...kuifumua ni shida lazima utajuta ,nywele ilikatika balaa
Aisee pole
Hizi hormones hazijawahi kutulia
Vipele tu vinajua kututesa .


Hizi nzuri ulipendeza ..
Sema acne za hormones ni noma.Mimi hadi sasa sielewi nipake nini usoni
Wengine wameenda mbali na kuniambia hormanal imbalance na blah kibao.
Ndo kilichonipataHizi nzuri ulipendeza ..
Na zinahitaji uwe na utalamu hivi kuzi maintain la sivyo zinavurugika.
Nimekaa kitako hapa nafuatilia challenge ya unywele.Sema acne za hormones ni noma.
Zinajuaga kutaradadi hizoo 😂😂
Kuna Dr mmoja alinambia ni kuzidi kwa hormones gani sijui, tiba ni kuzaa 🚶🏼♂️
Mwee itakuwa hormone ya hamu imezidi..Sema acne za hormones ni noma.
Zinajuaga kutaradadi hizoo![]()
Kuna Dr mmoja alinambia ni kuzidi kwa hormones gani sijui, tiba ni kuzaa![]()
Kweli na kama msusi hajakaza unaona hajakusuka vzuri.Sana Ila makosa ni kuisuka nywele ya ndani na kuikaza kiuhalisia inabidi ya ndani ilegee Ila tunabana matumzi zikae zidumu muda kidogo Ila ni shida
Sema acne za hormones ni noma.
Zinajuaga kutaradadi hizoo![]()
Kuna Dr mmoja alinambia ni kuzidi kwa hormones gani sijui, tiba ni kuzaa![]()

hormone ni shida Sana Yan unaweza ukamaliza vipodoziNa yenyew inakata nywele kumbe?
Hiyo style mtu akiiona anakutamani kichwa kilivyopendeza.
Kuna saa inabidi tu kufumba macho unajitoa ufahamu unasuka zako hivyo hvyo asa utafanyaje na mtu unataka kupendeza.
