Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kweli zinapendeza balaaa
Huwazi kusuka wala tena unaweza kukaa nazo hata miezi mitatu.

Huo ndo ubaya wake huo .. nikija kunyoa tu ah naweka siwezi baki kipara .
Na zilikaa, kaz yangu ilikua kupaka tu mafuta basi na kuziweka sawa.

Yaani ni nzuri, nishazimiss. Mwenyew hizi zikinichosha sitaweka dawa had nywele za dawa ziishe ibaki natural niweke curl tena
 
View attachment 2180763

Zilikupendeza kwa kweli
Sio ukae kwenye kioo unachana style hii mara ile haikai ..kuchana tu nywele unatumia 30 minutes .

Weka mwaya upendeze , relaxed hair huwa zinachosha muda mwingine .
 
Asante dear
Hapo bado kila ukichana chanuo linatoka na nywele😂

Zinachosha, uzuri pia saiv kuna style nying za short hair za kisasa so hata ukinyoa bado utakua msupu tu
 
Na zilikaa, kaz yangu ilikua kupaka tu mafuta basi na kuziweka sawa.

Yaani ni nzuri, nishazimiss. Mwenyew hizi zikinichosha sitaweka dawa had nywele za dawa ziishe ibaki natural niweke curl tena
Abeee

Yan hiyo nywele kuiwekea curly tena labda uikate other wise kitakukuta kitu hichoo
 
Yeah unapendeza ukisuka sema issue ipo kwenye kuzimaintain inabidi uwe na hair stylist akuchane la sivyo unafumua week tu .
Na mimi misivyojua kuchana

Lile weaving tu lilijiviringa
Kufumua nilikuwa nakata kata tu
 
Asante dear
Hapo bado kila ukichana chanuo linatoka na nywele

Zinachosha, uzuri pia saiv kuna style nying za short hair za kisasa so hata ukinyoa bado utakua msupu tu

Kha mimi huwa nachelewa kisa kuamua tu niweke style gani leo

Msupu tena balaa , unapendeza zako tu mwenyewe .
 
Back
Top Bottom