Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji4]
20220408_194841.jpg


Sent from my SM-M305F using JamiiForums mobile app
 
Yaani unasifiwa balaa .. nakumbuka sijawahi kusifiwa na watu vile hadi wanaume .. kikomwe kinachongeka ipasavyo [emoji23]

Aisee mpaka nisahau ndo nije kuisuka tena maana maumivu mabichi bado yapo tena ,bei yake nafuu kabisa 2000 ya fundi na 1500 ya rasta .
3500 ikakuachia majeraha😂😂

Na za nyuma zilikatika pia, au mbele tu
 
kwa hiyo umeamua unitukane[emoji23][emoji23][emoji23]

kwamba wenye vichwa vikubwa vimekaa kama sufuria
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Namshangaa boss ledi anahangaika wakati kichwa kizuri akikipeleka Kwa fundi chap kinasukwa fasta
 
Back
Top Bottom