Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,921
- 236,462
Mimi huyuAsante dear
Hapo bado kila ukichana chanuo linatoka na nywele[emoji23]
Zinachosha, uzuri pia saiv kuna style nying za short hair za kisasa so hata ukinyoa bado utakua msupu tu
Kila siku nywele zinang'oa chanio[emoji23][emoji23]