Joto hili balaa
Nywele zifumuke tu
Ila kuna style ukisuka ikifika usiku unaona cha moto .. mda fulani hivi niliona kusuka crotchet kwa rasta nikapenda weh nikaamua nisuke aisee nilijuta kuchana siwezi mpaka watu wanisaidie kuchana after a week hivi nikazifumua .