Mallerina
JF-Expert Member
- Jan 19, 2023
- 4,156
- 10,738
Utapataje bwana na hutupii picha wakuchague😹Hapa selfika kila mdada kasoro (mimi 😹) ana mabwana watatu, mshika mapembe, mchepuko na crush..!!
Ukibisha ubishe kwa fact 😹😹😹
Mfano; udugu wangu coca
Mjep
The Ghost writer
……………. Huyu namjua mimi tu!!