Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,221
- 50,170
Watu wana vibe hatari😍
Watu wana vibe hatari😍
Aza boys.. kaja kukutana na company .. kuna mapicha picha kibao.. hadi tukaja mpoteza.. ile miaka walipotea kuiga iga kutumia mi bangi madawa ulevi..Tambaza?
Kipo ITVHalafu kulikuwa na Hawavumi Lakini Wamo, hivi kilipotelea wapi kile kipindi....![]()
ebu tupia basi na wewe ka selfie uki vaibika 🤓🤓Watu wana vibe hatari😍
Hebu tupia ile rudia ya Saigon hapa hapa.Mie leo kwangu imekuwa siku nzuri sana na yenye kumbu kumbu nimekumbuka moment nyingi sanaa.. nimechapa old old pita hadi kwa kina Chindo man 😀😀
Hahaha, umenikumbusha watoto wa kishua kutoka Tambaza na Mzizima kujifanya wagumu!Wale diplomatz wote wakishua usela wameupatia Tambaza...
Jamaa fundi sanaPinned![]()
..hana wimbo mbaya hata mmoja..ngoma zote kali.Dooh mambo hayo nitayawezea wapi mie😛ebu tupia basi na wewe ka selfie uki vaibika 🤓🤓
Kumbe kwenye HipHop hampo nyuma.Jamaa fundi sana..hana wimbo mbaya hata mmoja..ngoma zote kali.
Hakuna mtu ananivutia kwenye hip hop kama huyu mwamba
Hebu tupia ile rudia ya Saigon hapa hapa.
aaah tupia bwana una kazawadi flani hivo unique 😀😀😀Dooh mambo hayo nitayawezea wapi mie😛
Prof Jay ni mbongo flava hajawai kuwa Hip Hop..Jamaa fundi sana..hana wimbo mbaya hata mmoja..ngoma zote kali.
Hakuna mtu ananivutia kwenye hip hop kama huyu mwamba
Nipe kwanza hiyo dhawadiiiii😋aaah tupia bwana una kazawadi flani hivo unique 😀😀😀
Sure Prof ni level nyingine, jamaa akiimba unatengeza story wewe mwenyewe unapata video hata kama hujaiona...Jamaa fundi sana..hana wimbo mbaya hata mmoja..ngoma zote kali.
Hakuna mtu ananivutia kwenye hip hop kama huyu mwamba
tupi kwanzaa 😀😀Nipe kwanza hiyo dhawadiiiii😋
Aza boys.. kaja kukutana na company .. kuna mapicha picha kibao.. hadi tukaja mpoteza.. ile miaka walipotea kuiga iga kutumia mi bangi madawa ulevi..


Hahaha, umenikumbusha watoto wa kishua kutoka Tambaza na Mzizima kujifanya wagumu!
Watoto wa kishua walikuwa shida kuna jamaa alipaga connection ya kibinti cha kitaa kwao kama Familia friend na kilikuwa hakijawai kuotewa.. akanijaza upepo.. ukishajua binti Bikra.. kuna kukamia flani hivi, kuna kitu nikaja kosea.. dogo alinizingua hadi nilichanganyikiwa vibaya.. 😀😀😀😀😀.. wakawa wananicheka kishenzi sana.. siri chakula nalala tu.. nimekumbuka tukio nimechoka wao. wakija wanaflowa hip hop zao wanakula vitu vyao wanaishia kunicheka tuHahaha, umenikumbusha watoto wa kishua kutoka Tambaza na Mzizima kujifanya wagumu!
Aseee, hivi lile lishule bado lipo tu ???Watu walikua wagumu
Sana hadi mademu yaani,ila shabaan robert ndio mabishoo wengi..