tamsana
Platinum Member
- Jan 13, 2012
- 3,830
- 8,247
Hongera sana, uko vizuri mkuuππππππππππ€π€π€
Hongera sana, uko vizuri mkuuππππππππππ€π€π€
Sijawahi kwenda huko hata Siku moja!!
Mie sio mtu wa club mkuu!! Siku nikikanyaga club nahisi watacheka mpaka wapasuke!!Mwezi wa 12 nilienda,hapana ustaarabu kabisa
Tanteeee π!Hongera sana, uko vizuri mkuu
Saigon nadhani ngada ilimharibu tu, lakini angekomaa hapa EA sijui kama wangemkamata!
Watu walikuwa wanajaribu kutoka kimaisha, ninyi mnawacheka! π€£Wale wasanii wake sijui walikua wanawatoa wap jamanππ
Kile kipindi kilikua full comedy
Mbona jamaa now days ni Ustadh sana, nilionana one day, aliacha music sababu ya dini.Saigon nadhani ngada ilimharibu tu, lakini angekomaa hapa EA sijui kama wangemkamata!
alizidisha sana life la hip hop.. angeweza balance maisha kama hawa hip hop soft ni moto wa kuotea mbali kabisa.. wasanii wa za mani walikosa balance ila walikuwa na vipajiSaigon nadhani ngada ilimharibu tu, lakini angekomaa hapa EA sijui kama wangemkamata!
Mambo mtoto mzuriTanteeee π!
Achana na Saigon Ustaadh, kuna kipindi huko nyuma Saigon alipinda sana....Mbona jamaa now days ni Ustadh sana, nilionana one day, aliacha music sababu ya dini.
Ok...Achana na Saigon Ustaadh, kuna kipindi huko nyuma Saigon alipinda sana....
Poa mkuu!Mambo mtoto mzuri
Kuna kipindi aliharibu kabisa vijana wakawa wanaiga ule msomo wake wa Kalinye Kalinyee Oii Oiiii!...... π€£alizidisha sana life la hip hop.. angeweza balance maisha kama hawa hip hop soft ni moto wa kuotea mbali kabisa.. wasanii wa za mani walikosa balance ila walikuwa na vipaji
ebwanaahh dahh, oiiiKuna kipindi aliharibu kabisa vijana wakawa wanaiga ule msomo wake wa Kalinye Kalinyee Oii Oiiii!...... π€£
Daaah, Saigon was a piece of work.......
ππππ.. Kalinyee oii oiiii.... kuna jamaa yangu mmoja ali imitate kila kitu kutoka kwa saigon.. ili mleteaga sana shida kazini.. alikuwa anajisahau ule usela ukapitilizaKuna kipindi aliharibu kabisa vijana wakawa wanaiga ule msomo wake wa Kalinye Kalinyee Oii Oiiii!...... π€£
Daaah, Saigon was a piece of work.......
Mtoto wa kishua yule,....ebwanaahh dahh, oiii
Ana life flani kama mwenyeji wa brooklyn
ila hawa wa sasa hivi kidogo wana balance.. zamani usela ulikuwa mwingi sanaa... walitaka copy life ya kina 2 pac vibayaaaOk...
Ndivyo muziki wa bongo ulivyo utakutumia na kuna kipindi lazima ukuache...