Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,771
kumbe dar mna raha sana.. huku mikoani tunapata shida sana kupiga chaboo.. tukija japo tunajionea tuuu neema... 😊😊Nipo lokeshen, njoo basi
View attachment 2179315
kumbe dar mna raha sana.. huku mikoani tunapata shida sana kupiga chaboo.. tukija japo tunajionea tuuu neema... 😊😊Nipo lokeshen, njoo basi
View attachment 2179315
Shusha mambo mama la mamaTukutane usiku!!
HongeraMungu ni mwema tumefika salama Nkamu[emoji1545]
hahaha.. ilikuwa lazima hiyo mida nikae kwenye kiooBwahahaha, ITV kila saa moja jioni walikuwa wanaipiga baada ya matukio ya wiki.
RIP massai aiseee.MALCOM LUMUMBA
hapa mgumu alikumbana na chomboo aisee.. akapunguza ugumu..
Na Mr. Ebo kanikumbusha mbali sana hapa.. leo nimekuwa na siku nzuri sana kwa hizi ngoma.. nimewambuka hip hop wenzangu.. kitambo.. na sie tulikuwa tuna fuga mi ndevu na nywele ingawa wengine tuna upaa na kuchana 😄😄ilikuwa inataka kutufanya wagumu hovyo
View attachment 2179303
View attachment 2179306
Nifanyie
Upendeleo
Nifanyie
Upendeleo
Justnow [emoji7]Saivi nimejiegesha hapa!! wewe upo wapi??View attachment 2179476
ndio jiselfie utupie!
Halafu kulikuwa na Hawavumi Lakini Wamo, hivi kilipotelea wapi kile kipindi.... 🤣hahaha.. ilikuwa lazima hiyo mida nikae kwenye kioo
Sa hv nipo kwenye giza hapa[emoji41]ndio jiselfie utupie!
Boss ledi wetu anapunga upepo[emoji91][emoji91][emoji91]Muda huu nimejiegesha hapa!! wewe upo wapi??View attachment 2179476
Tupia ivoivo!Sa hv nipo kwenye giza hapa[emoji41]
Si kule kwenye ule uzi [emoji3][emoji3]Mkuu wapi huko!
Hahaha,nakuja tutete kidogo
Tupia ulipo!!Boss ledi wetu anapunga upepo[emoji91][emoji91][emoji91]
Tunasubiri mambo
Si unaona hata sionekani[emoji41]Tupia ivoivo!
washa taaSi unaona hata sionekani[emoji41]View attachment 2179482