Strawbella
JF-Expert Member
- Mar 24, 2021
- 1,758
- 5,803
Shabaan Robert ???
Am not sure kama ipo tena sijaisikia kabisa..
Shabaan Robert ???
Ohh yeah A level tuSi ndio mlibakia A level tu..
Aisee, wewe jamaa kwa mwendo huu inabidi siku tuonane nikupeleke pale Reggae Bar tukapate Ghahawa...
Kuna ile ngoma ya dj yusuph ithink, mambo mazuri yapo mbele kwa mbele, aisee sio poa
Ipo badoAm not sure kama ipo tena sijaisikia kabisa..
RIP Father Nelly...
jamaa yupo vizuriAisee, wewe jamaa kwa mwendo huu inabidi siku tuonane nikupeleke pale Reggae Bar tukapate Ghahawa...
Kile kichwa
Ukiachana na tungo zake...
Namna anaflow aisee
Nyimbo zake huwa sichoki kusikiza.


Yah nyimbo zake hazichoshi hataPicha harisi... nimekumbuka kitambo hii.. Gahawa hapo safi kabisa inapendezaa 😀😀Aisee, wewe jamaa kwa mwendo huu inabidi siku tuonane nikupeleke pale Reggae Bar tukapate Ghahawa...
Ipo bado
Shule za kule vituko tu kuanzia Aga Khan hadi hizi za government .
Kifo chake kilimgusa sana JCBRIP Father Nelly...
Mimi naijua hiphop ya zamani tu mkuuKumbe kwenye HipHop hampo nyuma.
Hebu nipe list yako ya unao wakubali.

😬😬😬😬 achana nazo hizo hazina faidia michongo tupuNilikua sijaona, sjui ilinipita vipi hii🤣🤣
Ila nimezipenda zinavutia kimuonekano wa nje😍😛
Aaah, kijana wetu ana maktaba nzuri adimu sana.....jamaa yupo vizuri
Itakuwa ishapoteana tu,...Am not sure kama ipo tena sijaisikia kabisa..
😀😀😀😀 huu wimbo kuna bro wangu mmoja alikuwa anaupenda sanaaKuna ile ngoma ya dj yusuph ithink, mambo mazuri yapo mbele kwa mbele, aisee sio poa
Haya mkuu ..tumeshakubaliana Prof ni mwamba.