Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,758
😀😀😀😀 Shule za ule ukanda kulikuwa na ka mtindo kao tofauti na Tanzania nzimaMi nilisoma tuition ya PCB Tambaza usista du uliishia getini![]()
😀😀😀😀 Shule za ule ukanda kulikuwa na ka mtindo kao tofauti na Tanzania nzimaMi nilisoma tuition ya PCB Tambaza usista du uliishia getini![]()
Thidanganyikiiiitupi kwanzaa 😀😀
Mie sidanganyie tupi kiduchu.. tuone ufundriiii 🤓🤓🤓Thidanganyikiiii
Nipeee kwanza
Nakumbuka tumeanza form five hapo tukipanda kwa gari na matshirt yetu .. makonda wanatusema wanafunzi wa Tambaza wabishi sana hawa ..hadi hatupandishwi bus .Mi nilisoma tuition ya PCB Tambaza usista du uliishia getini![]()
Shabarn robert ugumu wange utolewa wapi wale.. wagumu walikuwa wanatoka shule za government... wala mayai mayai kabisaa 😀😀😀mboga sabaWatu walikua wagumu
Sana hadi mademu yaani,ila shabaan robert ndio mabishoo wengi..
Aseee, hivi lile lishule bado lipo tu ???
ile shule ipo.. ila haivumi tena.. naona kama iliparanganyika flaniAseee, hivi lile lishule bado lipo tu ???
Shabarn robertTambaza au shaaban robert?
Nakumbuka tumeanza form five hapo tukipanda kwa gari na matshirt yetu .. makonda wanatusema wanafunzi wa Tambaza wabishi sana hawa ..hadi hatupandishwi bus .
Lenie mwamba anatuangusha hapa kutumia mipira ya uwanjani.. 😎😎
Sasa studio si ndiyo zilikuwa zinawabania 🤣Yaani kuanzia watangazaji hadi wageni waalikwa ilikua vituko.
Nilikua nakipenda sana, maana kilikua kinanipa raha. Walikua wanaonyesha J2 kama skosei
Af wasanii wake hawajulikani, sidhan kama kishawah kutoa msanii hata mmoja😅🤣🤣
Shabarn robert ugumu wange utolewa wapi wale.. wagumu walikuwa wanatoka shule za government... wala mayai mayai kabisaamboga saba


Hivi ngoma za WATENGWA na X-PLASTAZ unazo ???Mie leo kwangu imekuwa siku nzuri sana na yenye kumbu kumbu nimekumbuka moment nyingi sanaa.. nimechapa old old pita hadi kwa kina Chindo man 😀😀
😀😀😀 lazima abondwe tu.. shabarn robert watu soft soft kina kanjibai ndio walikuwa wamejazanaTid alisoma pale ndio maana alidundwa na dudubaya![]()
Ooh yeahTambaza walikua watukutu sana asee,ila walikua very intelligent na pia wengine walikua wapenda amani sana...
Shabaan Robert ???Tambaza au shaaban robert?
Kile kichwaSure Prof ni level nyingine, jamaa akiimba unatengeza story wewe mwenyewe unapata video hata kama hujaiona...

Bado kipo mpaka leo ??? 🤣Kipo ITV
Ooh yeah
Tulioenda baada ya hao watukutu tumenyooshwa aisee shule ikawa ya nidhamu sana .