Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,248
OohLinaenda pia Dodoma, very classic
OohLinaenda pia Dodoma, very classic
Hadi Meridian umeliweka?Pia estar,marangu, Machame, tilisho,Lim, meridian nk.






Magari yake mapya yapo vizuri yajaribu siku 1Huyu anakimbiaga
Ila silipandi
Libovu linaonekana![]()
🤣🤣🤣🤣 pole kw stress, All shall be wellNilikua na stress ila nimejikuta na cheka kwa comment yako hii
Binafsi sijawahi lionaHadi Meridian umeliweka?![]()
Kama lako tu yaaniGuu guu![]()

Yaaa, ingawa yanaenda rombo, kipindi hicho sambamba na saibabaHadi Meridian umeliweka?![]()
MhhMagari yake mapya yapo vizuri yajaribu siku 1
Poa mkuuFuatilia na mimi ngoja siku moja ntawapa updates ya ligi yao
Arusha halifikiBinafsi sijawahi liona
😂😂😂😂NimechekaSisy siku hizi huu uumbaji naurushia Kwa manati mno.
Ngoja kwanza ninunue nguo mpya,nioge vizuri ninukie,niende lokesheni,nipige picha Nikuwekee sisy wangu mzuri mzuri
Yah kuna moja plate number ni DVA hyo ndio naijua iko poa, nyingine zile mpya nadhani zipo sawa.Mhh
Ni classic kama Kidia?
Nitajaribu
😄😄😄 ili wafanya wajione wagumu kuliko tanzania yoteBwahahaha, Jesus Come Black (JCB), hawa jamaa waliwaharibu sana watoto wa Arusha.
Wasalimie hapo Dom nkamu.
Nimepamiss Dodoma jamani
Jina gumu nikadhani nitakuta kitu cha scania 🤣
Kwa route ya Dodoma hakuna gari kali kama Shabiby aisee
Tunaoumia ni sisi
Mguu kama mguu