Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,509
- 235,214
Dom ni masaa 7 hadi 8Lipo slow sana Nkamu tumeondoka Dar saa nne ila mpaka sa hivi hata Gairo hatujafika
Kawaida 🥰
Dom ni masaa 7 hadi 8Lipo slow sana Nkamu tumeondoka Dar saa nne ila mpaka sa hivi hata Gairo hatujafika
Mnaumia au mnafurahi?Tunaoumia ni sisi
InategemeaMnaumia au mnafurahi?
Inategemea nini mkuu?Inategemea
Shangazi asante asante shangazi nimeona nimeona 😎😎Mjomba na wewe kumbe unasikiliza hip hop
Wenzetu wanavyofaidi vitu vizuri, tunaishia kuona tu 😀😀🙌Inategemea nini mkuu?
Upo safarini kumbe, mfike salama aisee[emoji120][emoji120][emoji120][emoji23]Lipo slow sana Nkamu tumeondoka Dar saa nne ila mpaka sa hivi hata Gairo hatujafika
Ndio ule mtetemeko eeh.. fala sana weweee 😄😄😄😄😄🤣 hadi simu imenidondoka
Wakwanza kuiona pongezi mno kwa majaliwa[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]8
Shepu letu matata🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
Lakini yapo!Jina gumu nikadhani nitakuta kitu cha scania [emoji1787]
Na wewe unatafuta tu mkuu..Wenzetu wanavyofaidi vitu vizuri, tunaishia kuona tu 😀😀🙌
kwanini wamecheka.. umesiki mkono wa producer 😎😎Nimeplay ya pili kuna watu wamecheka hapa 🤣🤣🤣🤣🤣
😀😀😀🙌🙌Na wewe unatafuta tu mkuu..
Pole, hilo ni kwa watu wanaopenda Luxury na hawana haraka[emoji28]...Lipo slow sana Nkamu tumeondoka Dar saa nne ila mpaka sa hivi hata Gairo hatujafika
Dom ni masaa 7 hadi 8
Kawaida [emoji3059]
Upo safarini kumbe, mfike salama aisee[emoji120][emoji120][emoji120][emoji23]