Pendaelli
JF-Expert Member
- Feb 13, 2014
- 12,105
- 35,136
Au tuseme likitoka dar kuja Arusha linachelewa, likitoka Arusha kuja dar linawahi!Dar Express anawatangulia kuingia Arusha
Nauza duka stend hapo Makao mapya
Labda humuonagi tu wewe
Au tuseme likitoka dar kuja Arusha linachelewa, likitoka Arusha kuja dar linawahi!Dar Express anawatangulia kuingia Arusha
Nauza duka stend hapo Makao mapya
Labda humuonagi tu wewe
Mkuu kuna Kapricon pia huwa wanachuana...Natamani kubisha lakini nikubali tu, mimi niko karibu sana na njia ya Bagamoyo ambayo baadhi ya mabasi kutoka na kwenda kaskazini yanapita, sijawahi kuona gari inayomtangulia tilisho, labda njia ya chalinze ila ya msata na kataa.
Ndio maana sijaviamkia nilijua havitaitika!!Vingine vimenyamaza kimya ila raba imeitikia marahaba![]()
NachokijuaAu tuseme likitoka dar kuja Arusha linachelewa, likitoka Arusha kuja dar linawahi!
Kutokea kaskazini labda?Mkuu kuna Kapricon pia huwa wanachuana...
Mtumishi tunamalizia kuifanyia maombi ile st Anna.Kakorofi sana![]()
OkayNachokijua
Kutokea Dar kuja Arusha ni kuna kuwahi
Ila Arusha to Dar kuna ka muda uwa kanasogea.
Yah mi nakuaga maeneo ya Kibo Tegeta nawaonaga na ligi yaoKutokea kaskazini labda?
Bwahahaha, Jesus Come Black (JCB), hawa jamaa waliwaharibu sana watoto wa Arusha.
Sisy siku hizi huu uumbaji naurushia Kwa manati mno.😍😍🤗
Alafu kitambo sijaona uumbaji wa Mungu Embu nibariki Dada ako 😘😘😘
Ngojea ni note, maana nami niko maeneo hayo ya Tegeta ila kapricon ni kama vile sijawahi kuiona.Yah mi nakuaga maeneo ya Kibo Tegeta nawaonaga hv
Duh
Huyu anakimbiagaMkuu kuna Kapricon pia huwa wanachuana...
Linaweza kupita we ukiwa umegeuka nyumaa, ukirudi mbele ndiyo unaona Tilisho.Ngojea ni note, maana nami niko maeneo hayo ya Tegeta ila kapricon ni kama vile sijawahi kuiona.
Wasalimie hapo Dom nkamu.Ila Nkamu jamani
Fuatilia na mimi ngoja siku moja ntawapa updates ya ligi yaoNgojea ni note, maana nami niko maeneo hayo ya Tegeta ila kapricon ni kama vile sijawahi kuiona.
Nilikua na stress ila nimejikuta na cheka kwa comment yako hiiLinaweza kupita we ukiwa umegeuka nyumaa, ukirudi mbele ndiyo unaona Tilisho.