MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,449
- 69,286
Kwa route ya Dodoma hakuna gari kali kama Shabiby aiseeinavyotembea taratibu sasa kama Kinyonga
Nimeplay ya pili kuna watu wamecheka hapa 🤣🤣🤣🤣🤣
Mkaka handsome shikamoo… lile tabasamu letu leo tutaliona?Aiseeeh....
Yule siyo mimi, umenifananisha.......!Mkaka handsome shikamoo… lile tabasamu letu leo tutaliona?
Tuma tena tuone!!🙄Yule siyo mimi, umenifananisha.......!
🤣🤣 ABC na Kimbinyiko? Miaka yetu tunasoma hawakuwa na mpinzani banaKwa route ya Dodoma hakuna gari kali kama Shabiby aisee
Tecno yangu haina camera mkuu, lakini wewe pia unaweza kutuma tuone!Tuma tena tuone!!🙄
Nilifanya comparison 🤔Yule siyo mimi, umenifananisha.......!
Aisee, umenishindikana 🤣Nilifanya comparison 🤔
Sema tu labda ulipost ya ndugu yako
Wana customer care nzuri sana ila Kwa uzuri wa gari shabiby Hana mpinzani aiseeABC na Kimbinyiko? Miaka yetu tunasoma hawakuwa na mpinzani bana
Shabiby napanda la 35 nisafiri kiboss basi
Kwa kutokea Chuga to Dom pia shabiby yuko vizuri
Jamani mbona ivo!!!!!😔Tecno yangu haina camera mkuu, lakini wewe pia unaweza kutuma tuone!
Hivi nimekaa hapa najiuliza mbona sipo sawa shida ni nini!?!Umeona eeehhh!!![]()
Shangazi yenu akirudi ntaazima simu yake ili nipige, meanwhile tuma yako tuone!Jamani mbona ivo!!!!!😔
Mchopanga, a Hip-Hop Powerhouse!😎😎😎 nakula old old hapa
View attachment 2179096
View attachment 2179091
View attachment 2179092
My bebe ndo unafufuka baada ya kujipoteza jamaniI miss u babe![]()

Anne baki kwa Yna2 please!Hivi nimekaa hapa najiuliza mbona sipo sawa shida ni nini!?!
Kumbe nimezimiss picha za boss ledi bwana.



leo nimecheka chizi ana nafuu


Kuna ngoma fulani ya Saigon inaitwa Bruce Lee naitafuta sana😎😎😎 nakula old old hapa
View attachment 2179096
View attachment 2179091
View attachment 2179092
Karibu chuga basi uje kuona mabus mazuri Shabiby akasomeWana customer care nzuri sana ila Kwa uzuri wa gari shabiby Hana mpinzani aisee
Gari inavutia toka nje.