Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 30,095
- 41,710
[emoji3][emoji3][emoji125]Wizo unanitania na milonjo yangu
[emoji3][emoji3][emoji125]Wizo unanitania na milonjo yangu
[emoji3][emoji3]poleeeViatu virefu siviwezi wallah,nishazoea masai nk.
DSM nishagapatoka,Unaweza shangaa akachinjwa na wengine.
Location wapi dsm au usingidani?
Haya tutajionea kwa picha ukiweka siku dear .Hapana. Hapo nipo serious mnoo
Shangaziiiii tupia basiSalama tu nashukuru Mungu mjomba...
Daah mguu na rangi nkamu [emoji7][emoji7]Pale mpo kikaoni badala ya kuchangia mada ni kujipiga picha[emoji1494][emoji1494][emoji1494]
chitchat.. usi panic 😀😀😀tumeachana nayo.. reluxAchaneni na hayo maongezi tafadhali😡
Miguu ya mwanamke ni kama ramani.....[emoji91][emoji91][emoji91]
Eti ngongoti. Mjukuu bana [emoji870][emoji870][emoji870]Nilivyo ngongoti virefu havinifai[emoji23]View attachment 2178291
Nkamu nilikupostia muwa wangu na maendeleo yangu ya kuvaa viatu leo. Sijui ulitingwa na kikao[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]babu,vitu vingine ukijitizama tu huwezi vaa maana unaweza tishia raia[emoji3], baibui jeusi+hijabu nyeusi+ viatu virefu[emoji3][emoji3]Eti ngongoti. Mjukuu bana [emoji870][emoji870][emoji870]
I agree. Beautiful song. Sweet melodies...[emoji91][emoji91][emoji91]Song of the day
Yaani hawa wapenda heels wa humu karibu wote ni mangongoti. Aisee mnanogaga sana mkigonga mabaibui yenu, trouser ndani na 👠👠👠👠[emoji23][emoji23][emoji23]babu,vitu vingine ukijitizama tu huwezi vaa maana unaweza tishia raia[emoji3], baibui jeusi+hijabu nyeusi+ viatu virefu[emoji3][emoji3]
Babu utanikimbia mjukuu wako[emoji2442][emoji2442]
Umeamini sasa babu kuwa huyo mdudu yupo eeh🤣🤣🤣Kwa kweli nimemsimulia Bibi yako hilo tukio lako, amecheka sana. Kuna wakati nayeye aliwahi kusema hivyo hivyo wakati ambapo alipotea nyumbani kwa masaa 48, napata mashaka kwa kweli😂😂
😂😂😂😂😂😂Ukomeee
Mideko nakuja unifundishe kupika
🤣🤣🤣🤣Nkamu nilikupostia muwa wangu na maendeleo yangu ya kuvaa viatu leo. Sijui ulitingwa na kikao[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app