Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 20,059
- 61,316
Kwa kweli nimemsimulia Bibi yako hilo tukio lako, amecheka sana. Kuna wakati nayeye aliwahi kusema hivyo hivyo wakati ambapo alipotea nyumbani kwa masaa 48, napata mashaka kwa kweli😂😂🤣🤣🤣🤣 mwenyew nilikua sijui eti, dunia hii acha tu babu