Midekoo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2015
- 47,774
- 256,799
Karibu mamyMideko nakuja unifundishe kupika
Karibu mamyMideko nakuja unifundishe kupika
Mtanikoma mwaka huu na miguu yenu
Asante..Karibu mamy
Kazi tunayo😂😂😂Mtanikoma mwaka huu na miguu yenu
Ulishindikanika
Watu walikuwa wananiona shumileta.
Nimekuwa mtoto mwema sasa.
Kama Nsyuka yaani🤣🤣🤣🤣
Kama Nsyuka yaani🤣🤣🤣🤣
Nimekoma mimi,nimekoma sana ,nimekoma mimi.
Ila nimeiacha Moja..utukutu bado upo upo.
View attachment 2178327
Akina nkamu wanaovaa Muda wote wala hawana mbwembwe..Hapo ni maendeleo ya masaa mawili tu![]()
Ndiyo nimeanza sasa. Pembeni nina soksi 🤣🤣🤣🤣Akina nkamu wanaovaa Muda wote wala hawana mbwembwe..
Wenzangu na mimi sasa watembea peku😂😂🔥🙌
Nibandike?😳😳Hamna. Uje ubandike tu tena, ila usiweke marefu sana
Uwiiii..Ndiyo nimeanza sasa. Pembeni nina soksi 🤣🤣🤣🤣
Ulikukoma kukomazika mwaka huu👠👠🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Uwiiii..
Loli mbombo jilipo.
Ngatele🏃🏾♀️🏃🏾♀️🏃🏾♀️
Hizo za nsyuka zilikuwa zako kwani? Nikajua ulibandika etiNibandike?😳😳
Kucha za kubandika siwezi😂😂😂😂
Nimewahi bandika mara Moja tu,siku ya graduu..ilinitoa damu mguuni🤣🤣🤣🤣
Nawe pia.DSM nishagapatoka,
Nikutakie usiku mwema![]()
SitakubaliUlikukoma kukomazika mwaka huu👠👠🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Weeeeee. Sio urembo huo
Hehhehehhee maendeleo UyoleSitakubali
Hapa natafuta soksi zangu shit😬😂😂😂
Woyoooo🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hizo za nsyuka zilikuwa zako kwani? Nikajua ulibandika eti