Chat na picha
😄😄😄 swalamaa kabisa mcute sanaaa Lenie habari ya weekendAbee, uhali gani baby wake mtu
Afadhali wewe unaonesha msimamo, ila tafadhali ukimchezea Mjukuu wangu nitakutumia MAMBA hata kama utakuwa bafuni unaoga atakuchukua na kukuleta huku Kijijini ujibu mashtaka 🤪🤪🤪Ku test mitambo tu hiyo.. nikitaka kujua kama inashika au lah.. kuhusu mie na Nuzulati ondoa shaka kila kitu ni sawa.. siwezi muachia mjukuu wako.. lazima niende nae.. Uledi mweu yule sema hamkugundua mapema 😂😂😂
Swalama Shangaziiiii Shangaziiiii habarinya weekend ShangaziiiiiMjomba salama?
ujue, umenushtua.Upogo??
Acha tu babu, nilikanyaga mdudu bahati mbaya nikajikuta sijui wapi huko.Have been looking at you bila mafanikio, nani alikuficha Mjukuu wangu lakini?
Hivi mnazungumzia kitu gani nyie watu😬😬😡Afadhali wewe unaonesha msimamo, ila tafadhali ukimchezea Mjukuu wangu nitakutumia MAMBA hata kama utakuwa bafuni unaoga atakuchukua na kukuleta huku Kijijini ujibu mashtaka 🤪🤪🤪
Kumbe Kuna wadudu ukikanya unapotea then unarudi baada ya muda, can't believe Mjukuu🙆Acha tu babu, nilikanyaga mdudu bahati mbaya nikajikuta sijui wapi huko.
Ndio nimerud leo jion
Nimeshtuka pia kukuona,siku nyingi zimepita,u mzima?ujue, umenushtua.
Nimekumiss.
imeisha hiyoo 😀😀😀Acha tu babu, nilikanyaga mdudu bahati mbaya nikajikuta sijui wapi huko.
Ndio nimerud leo jion
🤣🤣🤣🤣 mwenyew nilikua sijui eti, dunia hii acha tu babuKumbe Kuna wadudu ukikanya unapotea then unarudi baada ya muda, can't believe Mjukuu🙆
Mzima wa afya.Nimeshtuka pia kukuona,siku nyingi zimepita,u mzima?
😀😀😀 Mamba tunakura utakuwa umetuna kitoweoAfadhali wewe unaonesha msimamo, ila tafadhali ukimchezea Mjukuu wangu nitakutumia MAMBA hata kama utakuwa bafuni unaoga atakuchukua na kukuleta huku Kijijini ujibu mashtaka 🤪🤪🤪
😄😄😄Hivi mnazungumzia kitu gani nyie watu😬😬😡
Usijali, wewe tenaMzima wa afya.
Sikukuu unikaribishe, usiache.
siwezi kukusahau,,😄😄😄Hivi mnazungumzia kitu gani nyie watu😬😬😡