Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

kitaa mida ya iftar 😎
IMG_20220406_183146.jpg
 
Akishajifungua hii ya kwanza tunafunga harusi 😄😄😄😄
Mbona unataka kutumia mbinu kama ya Bwana Uledi, naye alisema hivyo hivyo Kwa Mjukuu wangu lakini baada ya kukamilisha mpango wake alimwacha na mtoto 1 na mimba. Tangu wakati huo hajaonekana hadi leo hii huku matumizi ya mtoto natoa miye Babu Yao😢
 
Ku test mitambo tu hiyo.. nikitaka kujua kama inashika au lah.. kuhusu mie na Nuzulati ondoa shaka kila kitu ni sawa.. siwezi muachia mjukuu wako.. lazima niende nae.. Uledi mweu yule sema hamkugundua mapema 😂😂😂
 
Back
Top Bottom