Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,498
- 235,199
🤣🤣🤣🤣🤣Hehhehehhee maendeleo Uyole
Nikifanikiwa kuwa na miguu iliyotunzwa kama ya Nkamu aisee mtanikoma na selfie za miguu😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣Hehhehehhee maendeleo Uyole
Woyoooo🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kumbe Nina kucha nzuri eeh??Mbona husemi siku zote🤣😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Zilikuwa zangu.
🤣🤣🤣🤣🤣
Nikifanikiwa kuwa na miguu iliyotunzwa kama ya Nkamu aisee mtanikoma na selfie za miguu😂😂😂😂
[emoji1787][emoji1787]Weee tuliaaa
Nishaanza kujikandika parachute 🤣🤣Na sisi tutakuwa tumekaa tu tunakusubiri ufanikiwe ututese?
Wivuuuuu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂Sio nzuri kivileeeeeee
Mtembeo mning'inioNilivyo ngongoti virefu havinifai[emoji23]View attachment 2178291
Shangaziiiii tupia basi
Sijui watu wanabandikaje kucha aisee[emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
View attachment 2178337
Nishaanza kujikandika parachute 🤣🤣
Shangazi dah! haya sikuwa na bahati basi na selfi yako wacha nilaleMbona nilishatupia mjomba[emoji2]
Mimi kutengeneza siwezi😒Mimi nimetengeneza ya kwangu ya nazi og
Yaani hawa wapenda heels wa humu karibu wote ni mangongoti. Aisee mnanogaga sana mkigonga mabaibui yenu, trouser ndani na [emoji151][emoji151][emoji151][emoji151]
Pambana na hali yako. Hapa nateleeeza kama mlendaMimi kutengeneza siwezi😒
[emoji1787]Ulishindikanika
Halafu mangingoti wengi ndio wanapenda heels
KwaniniKama Nsyuka yaani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nimekoma mimi,nimekoma sana ,nimekoma mimi.
Ila nimeiacha Moja..utukutu bado upo upo.
View attachment 2178327
Tutapambana tu na parachute kama Nkamu hafu tutaona nani mshindi😂😂😂Pambana na hali yako. Hapa nateleeeza kama mlenda
[emoji1787][emoji1787]Nibandike?[emoji15][emoji15]
Kucha za kubandika siwezi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimewahi bandika mara Moja tu,siku ya graduu..ilinitoa damu mguuni[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]