Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,765
- 26,901
KaaUle mguu wako ndiyo mwembamba? Nyie kamguu kangu ni kembamba ila kanakomaaaa
Kwa kutulia
Picha ninazo ujue
KaaUle mguu wako ndiyo mwembamba? Nyie kamguu kangu ni kembamba ila kanakomaaaa
Ooh vyema
kucha uzifuge tu zitapendeza piaOoh thank you![]()
Vifupi vinene hivi hadi kucha zinakuwa ndogo huwa natamni kucha ndefu mguuni watu huwa wanapendeza nao .
Hahaha nomaKaa
Kwa kutulia
Picha ninazo ujue

Wii picha haifunguki. Sisi sasa ambao tuna milonjo ya kuvaa viatu vya kina ba mjengo, wanajutraaa
NdioUnapenda vilivyobana eeh![]()

Za mguuni hazirefuki hata nahisi zimeumbwa hivyo ..nikienda kutengeneza kucha ndo ana azitrim basi .kucha uzifuge tu zitapendeza pia
Ndio
Kwa sababu
Vimetoa muongozo
Joto ni la kiwango gani
Humo nchini![]()

Daah ndiyo mmeamua kunitia moyo au? Japo nina confidence zangu tu za kuzaliwa🤣🤣🤣Thubutuuuuu..una miguu mizuri kweli kweli
Ooh vyema
Watu warefu nyie huwa mna vidole fulani hivi vizuri .
Vya shule?🙆Hebu tuone
Acha nongwaSivai heels mie
Nina ugimbi wa kuzaliwa nao
Tena nivae heels!?
Aiseee![]()
OK,nimewahi
Itakuwa vizuri tu hivyo wewe unatupaga moyo ujue Mimi naamini vitakuwa vizuri .Mmh sio vyangu vya miguuni, havieleweki. Tangawizi hii hapa
Aisee poleKuna watu walinisagia kunguni hatimaye ukucha wangu umetokaView attachment 2178045
PoleeeKuna watu walinisagia kunguni hatimaye ukucha wangu umetokaView attachment 2178045