Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 26,672
- 50,989
Ila vinahitaji uwe na kausafiri ndiyo hutapata shida maana hekaheka na hivyo viatu utaipata freshNa vinaongeza confidence pia![]()
Ila vinahitaji uwe na kausafiri ndiyo hutapata shida maana hekaheka na hivyo viatu utaipata freshNa vinaongeza confidence pia![]()
Yeah sureSio lazima uvae virefu sana kuna zile mid heels wala hazichoshi na unatokelezea vizuri kabisa...
Sio unatembea kwa kutetemeka kama mgonjwa

vile havina mtaalam,vinakuumbua dakika ...Kwa kweli 😀😀vile havina mtaalam,vinakuumbua dakika ...
Ila vinahitaji uwe na kausafiri ndiyo hutapata shida maana hekaheka na hivyo viatu utaipafa fresh
Aah sanaaaSunglasses lazima....
Duh siwezi!mbona miguu itaumiaBila usafiri ni hatari,ila kuna watu wanaweza kuzunguka navyo mitaani...
Nilikamatika aiseeBinti Zuma ulikuwa wapi jamani?
Sivai heels mieMshikaji wangu nasubiri kuona kapicha ukining'inia nawe kama wenzako
Mimi nikiamua kuwa binti Abiud, mtaniandalia na tuzo juu na kunipa nafasi ya kulisalimia Kanisa. Siku nikiamua kuwa binti Zuma sasa mweeh



Skuna dayOkay, mi pia style hii ya wazi siipendi,napenda vyenye soli/kisigino cha hivyo lkn kiwe cha kufunika!
Napenda viatu vya kufunika zaidi hasa vya style hii!
Lkn pia inategemea nimevaa nguo gani, style,rangi ,nk! Sbb style ya viatu vurefu pia ziko tofauti!View attachment 2177902
Chukulia sasa kazi yako inakuhitaji kuwa field mpo kwenye task force Halafu uvae hizo utafurahi mwenyeweBila usafiri ni hatari,ila kuna watu wanaweza kuzunguka navyo mitaani...
Za kuhusu nini mkuuNasubir za Nuzulati![]()
Hivyo ni flat?Mie wa flat kabisa!View attachment 2177959
Za kuhusu nini mkuu

EwaaHizi nzuri hapa ulipendeza balaa
Hakika wewe ni fashionista
YeahhSkuna day
Watu wenye ugimbi huwa mnapendeza sana mkivaa na ile tembea yenu 😬😂😂Sivai heels mie
Nina ugimbi wa kuzaliwa nao
Tena nivae heels!?
Aiseee 🤣