Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,385
Kwa kweli tunashukuru Mungu tuna miguu mizuri[emoji2][emoji2] na ukovaa heels mishipa inazidi kusimama ,tumshukuru mungu tunatembea tu....
Kwa kweli tunashukuru Mungu tuna miguu mizuri[emoji2][emoji2] na ukovaa heels mishipa inazidi kusimama ,tumshukuru mungu tunatembea tu....
Stylish sio hapo juu unaweka na hii[emoji3450] na sunglasses matata black
[emoji7][emoji7]View attachment 2177936
Miguu mirefu lakini myembamba...[emoji2362]
Arusha ndiyo vitu vyao hivyo, nashukuru Mungu anasaidia, vipi wewe unaendeleaje za huko, vipi tupia basi nawe kamning'inio maana leo mmeamua kuja na mining'inioViatu vizuri sana rafiki
Vipi habari ya huko ?
Na unaweza ukatoka zako huko una-swing vizuriiiiii; ghafla mbele za watu ndo heels zinataka kukufanya kitu mbaya jamani.Mimi mwenyewe nabeba mmasai Incase miguu ikaanza kukataa kusogea[emoji2][emoji2]
[emoji23][emoji23]umetishaSasa Bora wewe unagonga nguo ndefu; wifi ako na hizi confidence kwenye hakuna. Godfidence indeed
Kwa kweli kuvaa 👠kipaji mno miguu inauma jumlisha kiuno😬Mimi mwenyewe nabeba mmasai Incase miguu ikaanza kukataa kusogea[emoji2][emoji2]
😂😂😂Na unaweza ukatoka zako huko una-swing vizuriiiiii; ghafla mbele za watu ndo heels zinataka kukufanya kitu mbaya jamani.
[emoji151]Vina chagiza usmartHamna shidaaa,ila lzm tuvae tu hakuna namna
Hebu tuone kwanzaSunglasses lazima....
Ooh yes![emoji151]Vina chagiza usmart
Na unaweza ukatoka zako huko una-swing vizuriiiiii; ghafla mbele za watu ndo heels zinataka kukufanya kitu mbaya jamani.
Mimi nikiamua kuwa binti Abiud, mtaniandalia na tuzo juu na kunipa nafasi ya kulisalimia Kanisa. Siku nikiamua kuwa binti Zuma sasa mweeh[emoji23][emoji23]umetisha
Mi fupi inategemea ni wapi!
Ila Church no!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Daah shetani mbaya sanaUko zako kwenye harusi halafu ndio umebeba sahani ya msosi[emoji2][emoji2]
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣!! Mie heels nimeshindwa kabisa!!Mimi mwenyewe nabeba mmasai Incase miguu ikaanza kukataa kusogea[emoji2][emoji2]
[emoji151]Vina chagiza usmart
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Daah shetani mbaya sana
Na lile guu lako daah: lingetisha mnooo ndani ya heel[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]!! Mie heels nimeshindwa kabisa!!
😬😂😂 Sio unatembea kwa kutetemeka kama mgonjwaNa vinaongeza confidence pia[emoji2][emoji2]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]!! Mie heels nimeshindwa kabisa!!