Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Arusha mpo vizuri kwa kweli
Nashukuru kusikia upo poa

Huku mambo yanaenda vyema kabisa
Ona hii picha View attachment 2177969
[emoji91][emoji91][emoji91] [emoji91] [emoji91] Safi Hivi havikutesi sana tofauti na vile vyenye kisigino chembambaa hii unatembea Kariakoo nzima[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hapa sawa,viko vizuri!
Hasa pale umefanyaje ss
Acha tu Sirudii kuvaa viatu vile ..
Hapo napigwa picha sielewi na bado kiatu kinanisumbua mguu unavuta weeh [emoji23]

Nilichoka kuchagua viatu siku hiyo nimeenda kariakoo kila kiatu natamani end of the day nikachagua hicho ila nimejifunza

Closed heels sizipendelei acha tubanane kwenye open hizi hizi.
 
Back
Top Bottom