Strawbella
JF-Expert Member
- Mar 24, 2021
- 1,758
- 5,803
Wale wenye miguu milonjo tujuane[emoji85][emoji125]View attachment 2177986
Hiyo steak kabisa [emoji2][emoji2]
Wale wenye miguu milonjo tujuane[emoji85][emoji125]View attachment 2177986
Wii una mapozi [emoji3059]Wale wenye miguu milonjo tujuane[emoji85][emoji125]View attachment 2177986
Haiwezekani [emoji17]Umepishana na gari la mshahara [emoji2][emoji2]
Una vidole vizuri vifupi vinene!!!![emoji3577][emoji3577][emoji8] mie yangu myembamba marefu [emoji849][emoji849]!Mimi ndo mwenye vidole ujue
Hapo nilivibana maana nilikuwa naumia .View attachment 2177984
EwaaMimi ndo mwenye vidole ujue
Hapo nilivibana maana nilikuwa naumia .View attachment 2177984
Haya nawewe hebu tuone skuna zako!!Na vidole pia[emoji12][emoji8]Ewaa
Mimi kwenye mavazi kwa kweli; ngoja niendelee tu kumtazamia Bwana.[emoji23][emoji23][emoji119]
Mi church ni ngumu sbb niko 'praise n worship team'lzm tu uvae vzr
Kwa kweli tusichezee kaziNilikamatika aisee
Muhindi hataki mchezo
Mwee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Haya nawewe hebu tuone skuna zako!!Na vidole pia[emoji12][emoji8]
Siku vidole vyangu vikiwa hivi....mMimi ndo mwenye vidole ujue
Hapo nilivibana maana nilikuwa naumia .View attachment 2177984
NipoooooWale wenye miguu milonjo tujuane[emoji85][emoji125]View attachment 2177986
Endelea kushindikanika[emoji23]Mimi kwenye mavazi kwa kweli; ngoja niendelee tu kumtazamia Bwana.
Mje mtuimbie na wifi ako Anne basi
Viatu vyako vikiwa vimevaliwa mguuni!!Mwee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Skuna za wapi sasa?
Uzuri nyumbani mimi ndiyo mkubwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Endelea kushindikanika[emoji23]
Thubutuuuuu..una miguu mizuri kweli kweli
Ooh thank you [emoji7]Una vidole vizuri vifupi vinene!!!![emoji3577][emoji3577][emoji8] mie yangu mwembamba marefu [emoji849][emoji849]!
Nina viatu vya shuleni tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Viatu vyako vikiwa vimevaliwa mguuni!!
Aisee[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Uzuri nyumbani mimi ndiyo mkubwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu tuoneNina viatu vya shuleni tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
AshindweMdogo wangu ananiambia natembelea mikono [emoji2][emoji2][emoji2]