Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 30,095
- 41,710
[emoji23]aah,nimelala zangu tu hapaWii
Selfika basi
[emoji23]aah,nimelala zangu tu hapaWii
Selfika basi
Asante dearumenouga!! Zinakutoa kweli kweli!
Namna hiyo wizo. Mimi mwenyewe naona nishakuwa addicted na pointed toe zaidi. Na hivi nina madole mabayaOkay, mi pia style hii ya wazi siipendi,napenda vyenye soli/kisigino cha hivyo lkn kiwe cha kufunika!
Napenda viatu vya kufunika zaidi hasa vya style hii!
Lkn pia inategemea nimevaa nguo gani, style,rangi ,nk! Sbb style ya viatu vurefu pia ziko tofauti!View attachment 2177902
Hizi nzuri hapa ulipendeza balaaOkay, mi pia style hii ya wazi siipendi,napenda vyenye soli/kisigino cha hivyo lkn kiwe cha kufunika!
Napenda viatu vya kufunika zaidi hasa vya style hii!
Lkn pia inategemea nimevaa nguo gani, style,rangi ,nk! Sbb style ya viatu vurefu pia ziko tofauti!View attachment 2177902
Umependeza sana shangazi!!
Pendeza sana shangazi
Watu na heels zenyuuu!! [emoji8][emoji8][emoji108]
Pole sanaYaani cm hizi bwana, ilizingua!
Nimerudiii
Kelele moja kwa namba 41,[emoji151][emoji151][emoji140][emoji140]
VidoleHizi nzuri hapa ulipendeza balaa
Hakika wewe ni fashionista
Natamani hivi viatu sema weh inabidi usiwe mtu wa mizunguko na sina guu mie [emoji23]View attachment 2177909
Guu gani tena unalitaka mdogo angu?Hizi nzuri hapa ulipendeza balaa
Hakika wewe ni fashionista
Natamani hivi viatu sema weh inabidi usiwe mtu wa mizunguko na sina guu mie [emoji23]View attachment 2177909
Hizi nzuri hapa ulipendeza balaa
Hakika wewe ni fashionista
Natamani hivi viatu sema weh inabidi usiwe mtu wa mizunguko na sina guu mie [emoji23]View attachment 2177909
Hahhaaa watu na milonjo yetu, mirefuuuu[emoji2][emoji2] tena kelele kubwaa maana si mchezo...
Mweh ana rangi nzuri lakiniVidole
Havina gap
Duh[emoji1787]
Shangaa wewe
Sie wenye viguu vyembamba ukivaa hichi waweza onekana kichekesho [emoji23].Guu gani tena unalitaka mdogo angu?
Alisikia mlevi mmoja mafuta yameshuka mpaka lita moja kuwa 2000
[emoji1787][emoji1787]Mweh ana rangi nzuri lakini
Anaonekana pisi
Ooh yeah , kiatu kilimkubaliVimependeza sana na mguu umetulia[emoji8][emoji91]
Yaani weweNani
Kakuambia