Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,500
- 235,205
Wii[emoji23]junia
Selfika basi
Wii[emoji23]junia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji151][emoji151][emoji151][emoji151][emoji151][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Waache hawa watoto waendelee kukaa peku[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sipati picha!!!!!!! kama sio mzoefu na mwendo unabadilika kabisa yani wanakuona Kabisaaaa huyu heels kavamia [emoji1787][emoji1787][emoji23]!Nina kawaida ya kubeba flat shoes siku ile sijui ikawaje sikubeba bwana,alaf kilichonipa jeuri kanisan na home sio mbali kiihivyo nikajua kiatu nitakimudu. Aisee nilijuta sitarudi[emoji3] njian wakawa wananitania viatu virefu waachien kina Shakira [emoji23][emoji23]
Bambadi
Kama wewe ukipiga hiyo[emoji1787]
Mwendo wako ni kama
Twiga alieshiba
Babuu babuuu!! Suruali imekolea pasi.....View attachment 2177866
Wale waliokuwa na mpango wa kuwachezea Wajukuu zangu, nawapa taarifa nipo Bomani kukamilisha umiliki wa mguu wa Kuku. Sitaki masihara Mwaka huu [emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957]
CC 9.8ms squared
Yani mm nivae hta kwa dakika 5 utacheka ufe[emoji38][emoji38][emoji38]niliwahi letewaga zawadi mda kidogo nikavaa kwenye sherehe mbna nilishika mkonon kabla sherehe haijaisha[emoji23][emoji23]nimecheka jmn
Eti mhimbili kitengo cha mifupa!
Pole
Mi sipendi viatu vya chini
Kwenye event yyt, church, navaa high heels!
Except kwenye mizunguko tu ya kawaida
Hivi viatu vina wenyewe [emoji23]Yani mm nivae hta kwa dakika 5 utacheka ufe[emoji38][emoji38][emoji38]niliwahi letewaga zawadi mda kidogo nikavaa kwenye sherehe mbna nilishika mkonon kabla sherehe haijaisha[emoji23]
Mamie nilipata tabu wacha kabisa[emoji23][emoji23]Sipati picha!!!!!!! kama sio mzoefu na mwendo unabadilika kabisa yani wanakuona Kabisaaaa huyu heels kavamia [emoji1787][emoji1787][emoji23]!
Nimebahatisha leo tu, mnasimangwa wiki nzima. Mbona mtapata tabu.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Inamaana nimebaki Mimi na Depal tu?[emoji134]
Nimecheka wallah[emoji23]Junia atabaki na nani sasa?[emoji1787][emoji1787]
Nakuelewa binti Abiud. Ulimissika pia wizo 👠👠👠👠Wizooo, miss u!
Mambo yetu haya[emoji108]aisee viatu km hivyo ndo mambo yangu!
[emoji23][emoji38]unapata fahamu uko chini ya uangalizi wa madaktariHahahah ukijifanya una haraka unapiga mweleka...
[emoji23][emoji38]unapata fahamu uko chini ya uangalizi wa madaktari
Okay, mi pia style hii ya wazi siipendi,napenda vyenye soli/kisigino cha hivyo lkn kiwe cha kufunika!Heels zinapendeza mno binafsi napenda nizikivaalia na kigauni kifupi
Zisiwe na muundo huo hapo tu maana zinabana
ankle ile mbayaView attachment 2177886
View attachment 2177901
Wenye miguu ya baba zetu namba 41[emoji2][emoji2]
Kelele moja kwa namba 41,👠👠💅💅View attachment 2177901
Wenye miguu ya baba zetu namba 41[emoji2][emoji2]
Yaani cm hizi bwana, ilizingua!Nakuelewa binti Abiud. Ulimissika pia wizo [emoji151][emoji151][emoji151][emoji151]
umenouga!! Zinakutoa kweli kweli!Okay, mi pia style hii ya wazi siipendi,napenda vyenye soli/kisigino cha hivyo lkn kiwe cha kufunika!
Napenda viatu vya kufunika zaidi hasa vya style hii!
Lkn pia inategemea nimevaa nguo gani, style,rangi ,nk! Sbb style ya viatu vurefu pia ziko tofauti!View attachment 2177902
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji125]Yani mm nivae hta kwa dakika 5 utacheka ufe[emoji38][emoji38][emoji38]niliwahi letewaga zawadi mda kidogo nikavaa kwenye sherehe mbna nilishika mkonon kabla sherehe haijaisha[emoji23]