Strawbella
JF-Expert Member
- Mar 24, 2021
- 1,758
- 5,803
Hahhaaa watu na milonjo yetu, mirefuuuu
Mdogo wangu ananiambia natembelea mikono [emoji2][emoji2][emoji2]
Hahhaaa watu na milonjo yetu, mirefuuuu
Kwa hivi vitu [emoji151], Vigimbi haviepukiki kama vya sadio mane [emoji23]Hahahhaa yaani na miguu inaning’inia ...
Ule mguu wako ndiyo mwembamba? Nyie kamguu kangu ni kembamba ila kanakomaaaaSie wenye viguu vyembamba ukivaa hichi waweza onekana kichekesho [emoji23].
Mimi jumlisha na tege juu. Najifanyaga "achaneni na sexy tege hili"🤣🤣🤣Mdogo wangu ananiambia natembelea mikono [emoji2][emoji2][emoji2]
Unapenda vilivyobana eeh [emoji23][emoji1787][emoji1787]
Kamba kamba na travota ni [emoji91][emoji91][emoji91]Hizi nzuri hapa ulipendeza balaa
Hakika wewe ni fashionista
Natamani hivi viatu sema weh inabidi usiwe mtu wa mizunguko na sina guu mie [emoji23]View attachment 2177909
Mama junia una smile amazingMashavu ya kupulizia Moto[emoji16]View attachment 2177927
Kwa hivi vitu [emoji151], Vigimbi haviepukiki kama vya sadio mane [emoji23]
Si unajua zile pasi zetu za udongo Mjukuu🤪Babuu babuuu!! Suruali imekolea pasi.....
so smay!!
Style ya kuchekea Junia akikupiga na mwiko usoni[emoji23][emoji23][emoji23]Mama junia una smile amazing
Unacheka vizuri [emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji8]!!Mashavu ya kupulizia Moto[emoji16]View attachment 2177927
Acha tu sis nauonaga mwembamba balaaUle mguu wako ndiyo mwembamba? Nyie kamguu kangu ni kembamba ila kanakomaaaa
ahaaaaahaaSi unajua zile pasi zetu za udongo Mjukuu🤪
Au akiwa analilia kuvunja simu🤣🤣Style ya kuchekea Junia akikupiga na mwiko usoni[emoji23][emoji23][emoji23]
Viatu vizuri sana rafikiKamba kamba na travota ni [emoji91][emoji91][emoji91]
We mzee 🤣🤣🤣😂🤣Kwani hujasoma Sheria Mpya ya Babu, ni lazima uhamie Arsenal yake na sio Chelsea yako🤪
Chat na picha
bado smile la mama mchungaji sasa!😜Mama junia una smile amazing
Hamna sio mwembamba bana. Vaa tu viatu vyako, afu utashangaa gradually wewe mwenyewe unaanza kuukubali.Acha tu sis nauonaga mwembamba balaa
Itakuwa picha tu ile .
Mguu mzuri bado unapendeza tu wewe .