Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,385
Mmmh mmmh mmmmmh na huwa si-smile hovyo na njino zangu kama kandebado smile la mama mchungaji sasa!😜
Mmmh mmmh mmmmmh na huwa si-smile hovyo na njino zangu kama kandebado smile la mama mchungaji sasa!😜
🤭🤭🤭🤣🤣🤣🤣!!Mmmh mmmh mmmmmh na huwa si-smile hovyo na njino zangu kama kande
🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂Kwa hivi vitu [emoji151], Vigimbi haviepukiki kama vya sadio mane [emoji23]
Asante mpendwa ❤️Nimekumiss,pole na swaumu dear[emoji8]
🤣😂😂😂😂😂😂😂😂Mmmh mmmh mmmmmh na huwa si-smile hovyo na njino zangu kama kande
Ewaaaaa.View attachment 2177936
Miguu mirefu lakini myembamba...[emoji2362]
Binti Zuma ulikuwa wapi jamani?🤣😂😂😂😂😂😂😂😂
Mshikaji wangu nasubiri kuona kapicha ukining'inia nawe kama wenzako[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Asante dear!Hizi nzuri hapa ulipendeza balaa
Hakika wewe ni fashionista
Natamani hivi viatu sema weh inabidi usiwe mtu wa mizunguko na sina guu mie [emoji23]View attachment 2177909
Ooh thank you nitaanza kuukubali ..Hamna sio mwembamba bana. Vaa tu viatu vyako, afu utashangaa gradually wewe mwenyewe unaanza kuukubali.
Pongezi ziwafikie wote ambao ni wapenzi wa viatu 👠binafsi siwezi nikienda kwenye sherehe na beba na vya akiba ikitokea nimechoka😬View attachment 2177936
Miguu mirefu lakini myembamba...[emoji2362]
Ewaaaaa.
Sasa viguu vyangu na Ile mishipa inasimama
[emoji23][emoji23]tumetulia tu,tunaificha na nguo ndefuHahhaaa watu na milonjo yetu, mirefuuuu
[emoji3][emoji3]Sie wenye viguu vyembamba ukivaa hichi waweza onekana kichekesho [emoji23].
Hamna shidaaa,ila lzm tuvae tu hakuna namnaKwa hivi vitu [emoji151], Vigimbi haviepukiki kama vya sadio mane [emoji23]
Pongezi ziwafikie wote ambao ni wapenzi wa viatu [emoji151]binafsi siwezi nikienda kwenye sherehe na beba na vya akiba ikitokea nimechoka[emoji51]
Stylish sio hapo juu unaweka na hii[emoji3450] na sunglasses matata blackView attachment 2177936
Miguu mirefu lakini myembamba...[emoji2362]
Sasa Bora wewe unagonga nguo ndefu; wifi ako na hizi confidence kwenye hakuna. Godfidence indeed[emoji23][emoji23]tumetulia tu,tunaificha na nguo ndefu
[emoji23][emoji23]tumetulia tu,tunaificha na nguo ndefu